Hatimae chipsi nazo zapanda bei

Hatimae chipsi nazo zapanda bei

Wanaume wa Dar bana...chipsi ni chakula cha starehe
 
Wanaume wa DSM haoo,! Ndio maana wake zenu huwa wanatusifia wanaume wa mikoani!
 
Kisa wachuuzi wamekatazwa kujaza rumbesa magunia yatokayo shamba,gunia lisishonwe kilemba.Bei ya kiazi gunia sasa ni 120,000 dar
 
Hivi lile dude walilosema lingeigonga dunia mwanzo wa mwezi huu liliishia wapi?
Maana mi nlishauza kila kitu nkajiandaa na mwisho wa dunia!
Ni heri lile dude(NIBIRU) lije tufe kuliko haya mateso ndani ya hii nchi!
 
  • Thanks
Reactions: naa
Ni viatu flani vya wazi mfano wa "sendozi" huvaliwa na wanawake!
 
Jamani chips in chakula muhimu sana kwa wanafunzi wa chuo gharama yake ndogo na uniform kila mahali halafu haichukui muda kutengenezwa, kama imepanda hivyo itaathiri sana maisha ya vyuoni ambako madent hawezi kula michemsho yenu ya samaki yenye bei mbaya kama imeagizwa toka kwa Obama wakati samaki wamevuliwa ferry tu hapo.
 
Ungepanda bei unga wa dona ningelalamika lakini chips khaaa
 
Kwani chipsi nazo zinatumia sukari katika mapishi yake...na bado mtawaheshimu tu wabeba mabox muda si mrefu..Ngosha chapa kazi kaka tutaheshimiana tu hapa mjini hamna namna.
 
Back
Top Bottom