Hatimae chipsi nazo zapanda bei

Hatimae chipsi nazo zapanda bei

Kuleni ugali, chips na sukari waacheni wale wenye uwezo, tumechoka na malalamiko yasiyo na kichwa wala miguu.
Tukihamia wote kwenye ugali, demand ya sembe itakuwa kubwa Na ukichukulia boss Ni yuleyule Mo!, ugali nao utakuwa anasa!
 
kwa thread kama hii wanaume wa dar lazima wadharaulike sana.
 
Hili sasa GUNDU
Analo kiongozi mkuu
 
Mwanaume hapimwi kwa kile anachokula.
Lishe bora kwa mwanaume humwezesha kutimiza majukumu yake ya kimaendeleo barabara....
Kuna vyakula ambavyo mwanaume akila ni kujinenepea tu kihovyohovyo na akili kulemaa...
 
Siku dona na maharage vikizingua lazima nifanye maandamano hilo la chips yai siwezi nilishikia bango nawaachia wanaume wa dar
 
Back
Top Bottom