inayo kaka hakuna coz ambayo haina ajira ishu ni kuwa perculier au uwe na mtu wa kukuunganishia mchongo....[emoji6] [emoji6] [emoji6]Haina ajira
Nmeulizwa hatma ya kusoma Community Development sijapata jibu. Naomba msaada wenu.
Ina ajira na ajira zake nyng ngazi ya cheti na diploma zipo chn ya halmashaurHadi uonganishiwe sasa