Joseph Ludovick
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 256
- 276
Lwakatare wee baki na USALAMA WA CHAMA. Hadi leo ni wewe umeshaonja joto ya kurekodiwa LIVE na hivyo ninafahamu utakuwa umeshajiandaa vyema ili lisirudie tena hili swala.
Pia chama kilikupigania hadi kesi yako ikaisha na sasa umerudi kuwa Mkuu wa Kitengo cha USALAMA.
Hiki ni kitengo muhimu sana kuzidi hata ubunge unaoweza kuupata. Usalama wa viongozi wa Chadema utategemea sana wewe umejipanga vipi. Pia waksihakuwa na uhakika wako salama, watawanyuka vyema CCM wakijua utawalinda.
Nina imani BUSARA zitatawala na mwakani CCM kitakuwa chama cha KAWAIDA tu hapa Tanzania. Ntapigana sana kisife kwani CHADEMA au UKAWA wakitawala, baada ya muda wakikosa UPINZANI, watakuwa kama CCM vilevile....
Ndugu
kwa taarifa tu ni kuwa kesi yetu na Lwakatare haijamalizika...na kesho tarehe 2 tunakwenda mahakamani.
Pili ni kuwa chadema wala hawako na kamanda Lwakatare....na nawahakikishia kesi hii ikimalizika....ndiyo utakuwa mwisho wa Lwakatare katika chama....tazama walivyomuangusha kila mara.....kwenye kanda,kwenye uenyekiti mkoa, na hapo ulinzi na usalama wana aibu tu kwa sasa.....wengi hamuijui chadema ilivyo kwa ndani.
juu ya mgogoro wa hawa wawili...nadhani unakuzwa na majungu tu badala ya ukweli....hakuna anayemchukia mwenziye kati ya hawa wawili....Ila ni kweli Lwakatare hataweza kushinda ubunge.