me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
Et tuache kuseduce tuanze kujadili ndoa hahahaaaNdiyo haujamwelewa kumbe.
Anataka tuanze kumzungumzia yeye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Et tuache kuseduce tuanze kujadili ndoa hahahaaaNdiyo haujamwelewa kumbe.
Anataka tuanze kumzungumzia yeye.
Wimbo unafanyiwa kampeni utafikiri kuna uchaguzi. Kizuri kinajiuza chenyewe siyo kwa kufosi kiasi icho ila thumb up mmefanikiwa congrats for that ila ukifika view flan ukaganda mtaonekana maboya sana. Kesheni ivo mpk mfikishe view 10 kama salome ndn ya mwez mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app