Huyu show off zake zinamponza sana kwa akili yake ndogo anahisi anawakomoa akina fulani kmb ndo anajimaliza. Zari yupo pale for fame umarufu ukiisha anachukua kilicho chake anasepa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tchee tchee tcheeSioni shida let them mtu each other, na akimaliza atulir sio kuzaazaa tena nje ya ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa kama zari ndo hivo hao wakina wema na wakina joketi sijui mobeto walikua naye kwa ajili gani??pesa fame au nini labda??Huyu show off zake zinamponza sana kwa akili yake ndogo anahisi anawakomoa akina fulani kmb ndo anajimaliza. Zari yupo pale for fame umarufu ukiisha anachukua kilicho chake anasepa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke gani ambae hayupo kimaslai? Karbu wote wanafanana tabia muhimu ni kufanya maamuz na kumuachia mwenyez mungu asimamieKweli kabisa @ Kaka! Yani inatia huruma nyie Yule kaka amekamatika hasa! Hatumuombei afulie lakini ikitokea hivi anazani Yule Mwanamke atamstahamilia? Yule yupo kimaslahi tu pale! I am sorry to say all that!
mpaka umaarufu uje uishe sio karne hiiHuyu show off zake zinamponza sana kwa akili yake ndogo anahisi anawakomoa akina fulani kmb ndo anajimaliza. Zari yupo pale for fame umarufu ukiisha anachukua kilicho chake anasepa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke gani ambae hayupo kimaslai? Karbu wote wanafanana tabia muhimu ni kufanya maamuz na kumuachia mwenyez mungu asimamie
Sent using Jamii Forums mobile app
, na wanawake wa hivyo uchumi wa Mume ukiyumba kidogo tu amani inakosekana ndani anaanza kumhisi mumewe labda Ana mchepuko n.k, lakini wapo akina wanawake wengi tu wenye kuwa na kiasi ktk mambo mengi, si Mtu wa tamaa na mashindano wala kutaka makuu, yupo tayari kuvumilia ktk mapito yote bila kumuongezea mumewe Msongo wa mawazo! Wanawake wengine saa zote yuko na kucha Ndefu kapaka Rangi hajui kusugua masufuria wala kufua mashuka, ukienda nae kijijini anajidai Mzungu eti hajui kutumia kuni eti anajidai kukohoa na kujiliza mara anamuhimiza mumewe waondoke warudi mjini Au anawambia watoto mwambieni baba tuondoke!



Wabongo wamegoma kutoa kikiWaache waoaneee!!!
Ila mziki wa Seduce me upo pale pale unakaribia 2M huko YouTube.
Sent using Jamii Forums mobile app