Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 5,582
- 10,112
Wekeza kwenye hati fungani ya miaka 5 inayofuata Shariah.
· Faida Halal 12% ukiwekeza TZS
· Faida Halal 6% ukiwekeza USD
· Gawio mara 4 kwa mwaka
· Itadumu kwa miaka 5 (Utarudishiwa uwekezaji wako)
· Inafuata mkataba wa Ijarah
Wekeza kuanzia TZS 500,000 au USD 1000 na kuendelea.