Mwakawasila
Member
- Oct 23, 2024
- 39
- 68
Picha inaonyesha tofauti ya faida kati ya uwekezaji wa TSh 1,000,000 kwenye hisa za CRDB na hatifungani yenye riba ya 15.95%, ndani ya miaka 5.
📌 Uwekezaji katika Hatifungani (Bond)
✔️ Uliwekeza 1,000,000 TSh kwa muda wa 25 miaka
✔️ Riba ya kila mwaka (Coupon Rate): 15.95%
✔️ Ulipokea ~159,500 TSh kila mwaka kwa miaka 5
✔️ Jumla ya mapato kutoka riba katika miaka 5: 797,500 TSh 💰
✔️ Capital Gain (Faida ya ongezeko la thamani): 0% ❌
⏳ Bond inakupa kipato thabiti kila mwaka, lakini haina ongezeko la thamani ya mtaji wako.
📌 Uwekezaji katika Hisa za CRDB
✔️ Uliwekeza 1,000,000 TSh kwa kununua hisa kwa 95 TSh kwa kila hisa
✔️ Ulipata gawio (dividends) zinazoongezeka kila mwaka:
■ 2019 – 165,908 TSh
■ 2020 – 214,705 TSh
■ 2021 – 351,336 TSh
■ 2022 – 439,170 TSh
■ 2023 – 487,967 TSh
✔️ Jumla ya mapato kutoka dividends katika miaka 5: 1,659,086 TSh 📈
✔️ Capital Gain (Faida kutokana na kupanda kwa bei ya hisa): 626.31% 🎯
✔️ Thamani ya uwekezaji wako imeongezeka kwa 7,088,370 TSh 🚀
🔥 Hisa zimeleta faida kubwa zaidi kutokana na gawio na ongezeko la bei.
💡 Tofauti Kuu kati ya Hisa na Hatifungani
✅ Hatifungani ni chaguo bora kwa mtu anayependa usalama wa kipato na malipo ya uhakika kila mwaka, bila kujali hali ya soko. Lakini, haina ongezeko la thamani (capital gain).
✅ Hisa zinaweza kukuletea faida kubwa kupitia dividends na kupanda kwa thamani ya hisa, lakini pia zina hatari kwani bei inaweza kushuka kulingana na hali ya soko (lakini pia hasara ni pale tu utauza kwa bei ndogo ukilinganisha na uliyonunulia hivyo basi ni vema kuwa mvumilivu).
👉 Uamuzi wa kuwekeza unategemea malengo yako: Unapenda uhakika wa mapato au uko tayari kuchukua hatari kwa faida kubwa zaidi?
Mwakawasila
Financial consultant
255744980339 Whatsap