jafarikyaka JF-Expert Member Nov 13, 2014 378 269 Jan 19, 2017 #2 maamae ndege na malapa...[HASHTAG]#shoped[/HASHTAG]
eliasmushi JF-Expert Member Sep 18, 2013 430 108 Jan 19, 2017 #8 dah hii picha imenikumbusha ile helicopter made in mbeya iliruka kwa Msaada wa photo shop
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Oct 5, 2007 23,265 17,115 Jan 19, 2017 #9 Abiria kamzidi pilot kimwili?
Fredinho JF-Expert Member May 18, 2016 971 1,160 Jan 19, 2017 #10 Mi hater no 1 na ninasema...Ni photoshoped
Duduwasha JF-Expert Member Nov 3, 2010 5,703 3,658 Jan 20, 2017 #13 Hii ilishaletwa humu before kama miaka mitatu iliyopita tukacheka sana
RRONDO JF-Expert Member Jan 3, 2010 54,844 119,914 Jan 20, 2017 #15 mfilisti said: View attachment 461693 Click to expand... Hii edikopta imenikumbusha muvi ya chaki norisi misingi ini aksheni srii!!!
mfilisti said: View attachment 461693 Click to expand... Hii edikopta imenikumbusha muvi ya chaki norisi misingi ini aksheni srii!!!
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 75,203 157,374 Jan 20, 2017 #16 Mtu mkubwa kuliko chombo kilicho mbeba
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Nov 13, 2009 46,200 66,208 Jan 20, 2017 #18 Hivi shule hazijafunguliwa tu?
mfilisti JF-Expert Member Sep 24, 2015 3,641 19,275 Jan 20, 2017 Thread starter #19 jafarikyaka said: maamae ndege na malapa...[HASHTAG]#shoped[/HASHTAG] Click to expand... hater
K K M S JF-Expert Member Dec 18, 2016 524 424 Jan 20, 2017 #20 DOUGLAS SALLU said: Hivi shule hazijafunguliwa tu? Click to expand... Alikula za ada