HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,569
Habari wanajf...
Natatizwa na hili swala jaman nisaidieni
Hv kuna madhara yoyote kuendelea kuwasiliana na x-boy /x-girl wako,wakati unadate na mtu mwingine??
Nahitaji msaada wakuu
Kuna hatari ya kukumbushie enzi kama mliachana vizuri. By the way, kama unadate na mtu mwingine, mawasiliano ya karibu na X wako ni ya nini tena? Si ndo mwanzo wa usaliti huu?