Kwani singo mom ni kifaru au ni Nini? Ni shimo la taka? Akiwa singo mother anakuwa na mkosi au wewe bikra umekutana nazo ngapi? Kwani ukio ambaye hajazaa baada ya mwaka akazaa na yule singo mom Kuna tofauti gani.? Hanaway labda wewe Ni mvulana. Lakini kwa true family man Hilo sio tatizo kabisa. Kwani unadate/unaoa wanae.?Sasa mwanaume kamili unaoaje singo mama
NB:umeshindwa kuoa bikra yaan umeshindwa hata kupata ambaye hajazaa