Hatari yaku date na single mummyz

Hatari yaku date na single mummyz

Ma single maza wamenyong'onyea sana kama nawaona
 
Kutoka rohoni uwa nazichukia sana mada za watu kama wewe ambao wanawaponda single mom,nanicho amini uwa hamja kuwa na kama mme kuwa basi mmekuwa ki umri sio ki akili,kwanza jiulize wanajibebesha mimba hao,pia mnataka kina dad wawe wanatoa mimba sio?tumieni akili msilete mada za kutanguliza tamaa mbele mnawaza ngono tu hoo walio zaa sijui nini mara nani akuna single mom bila baba alie shindwa majukumu yake au alie kimbia mimba atukatai kuna wengine wana makosa yao ila isiwe wimbo sasa,kama ni kuchapiwa ata uoe bikra kama umeoa mshenzi utachapiwa tu.
 
Jiulize hao single moms wamepatikanaje bila ya wanaume waliowapa ahadi ya kuwaoa kisha kuwatelekeza,wengine walibakwa nk;angalia sana maneno yako usije juta baadae kwasababu ipo siku na ww utakuwa na watoto wa kike
Nakubaliana na wewe, sasa kuna wale wanaojilengesha makusudi wakiona mwanaume anavijisenti!
 
Ni rahisi tu, kama ambavyo kuna single momz, kina single fatherz
 
Anaekinga shahawa ndo mwenyematatizo ya akili sababu haiwezekani unajua shambalako linambolea alafu unakubali maji yaingie shambani then baadae unaanza kulalama mimea,ikiota kumlaum aliekupa maji......sisi kazi yetu nikuwamwagia tu mana hamna jinsi
Kama unajua kumwaga ujue kulea
 
Jiulize hao single moms wamepatikanaje bila ya wanaume waliowapa ahadi ya kuwaoa kisha kuwatelekeza,wengine walibakwa nk;angalia sana maneno yako usije juta baadae kwasababu ipo siku na ww utakuwa na watoto wa kike
Hata hivyo nina watoto wakike na wote wameolewa ndoa za heshima kabisa
 
Mi sijakuelewa kabisaaaa! Endelea na hao dot.com wako....Ila kumbuka kutuletea mrejesho hapahapa. Ndio nyie mnakuja kutulilia hapa Baadae,simwachi single Mum wangu kamwe.
Huo ni urongo
 
unachokiwaza wewe basi jua ni wewe tu... kila mtu ana IQ yake.... mkuu umechelewa sana kujielewa..!!!!
Kwa hii coment bilashaka ww ni single mother wa watt wa3 huku kila m1 na baba yake
 
Aisee imenibidi nijizuie sana kutoa povu langu la fire extinguisher.
Kila mwanamke/mwanaume ni potential single mother/father respectively. Kuna sababu nyingi sana zinachangia mtu kuwa single mother/father.

Jiheshimu mkuu! Kuwa na anonymous ID hapa JF isichochee kuanzisha threads za kipuuzi kama hizi. Mwanaume wa kweli anakufa na yaliyomo moyoni mwake.

ONYO: Kubalehe chini ya umri ni hatari kwa akili yako!
KUfa na yamoyoni ni sign ya u selfish aisee inabd kufunguka ili vjana watambue hatari ya hawa used women (single mums )
 
Lengo hasa nikuwaasa vjana wasio na hatia wasijarib kujiingza kwenye mitego yakudate na hawa used ppo let them find fresh women
 
Habarini wadau,

Kwanza si kama nawadharau single mumy but natoa tu rai yangu kwa vijana especially vi Ben ten kwamba kutoka kimapenzi na mwanamke aliyezalishwa alafu akaachwa ni sawa na kucheza game ambayo mwenzio kaicheza mwishowe kaamua kuisevu kwenye simu yake then baadae unakuja wewe na kujitutumua kuanza kuicheza, tambua tu mwenye mchezo wake akija tu lazima utampisha tu.

Be careful vijana nawasilisha tu sijamtusi m2.
Japo Ni post ya zamakini si busara kuwasakama hawa wadada kisa wamezaa. Kuzaa sio dhambi, au ikitokea akazaa ndio imekuwa rahana kwao. Haya ni mambo ya kawaida katika maisha kwani akizaa ndo anageuka paka mwitu? Kwani hawa tunaowaita wasicha (ambao hawajazaa wangapi umekuta mabikira? So Cha ajabu au tofauti nni? Au single wanajipa mimba? Kuna watu mnakimbia mimba na watoto sasa ukikimbia ajinyonge au? Haya Ni mawazo ya watoto na wavulana lakini kwa wanaume hii Ni akili mgando.
 
Sasa mwanaume kamili unaoaje singo mama

NB:umeshindwa kuoa bikra yaan umeshindwa hata kupata ambaye hajazaa
Japo Ni post ya zamakini si busara kuwasakama hawa wadada kisa wamezaa. Kuzaa sio dhambi, au ikitokea akazaa ndio imekuwa rahana kwao. Haya ni mambo ya kawaida katika maisha kwani akizaa ndo anageuka paka mwitu? Kwani hawa tunaowaita wasicha (ambao hawajazaa wangapi umekuta mabikira? So Cha ajabu au tofauti nni? Au single wanajipa mimba? Kuna watu mnakimbia mimba na watoto sasa ukikimbia ajinyonge au? Haya Ni mawazo ya watoto na wavulana lakini kwa wanaume hii Ni akili mgando.
 
Sasa we hujaolewa unashikaje mimba?

Utasema kuna waliofiwa or walioachika ,je hao no asilimia ngapi ya % singo moms out there, ni upuuz Wa kiwango cha SGR kuzaa nje ya ndoa except very few waliofiwa au kiachika/kuacha reasonably
Kutoka rohoni uwa nazichukia sana mada za watu kama wewe ambao wanawaponda single mom,nanicho amini uwa hamja kuwa na kama mme kuwa basi mmekuwa ki umri sio ki akili,kwanza jiulize wanajibebesha mimba hao,pia mnataka kina dad wawe wanatoa mimba sio?tumieni akili msilete mada za kutanguliza tamaa mbele mnawaza ngono tu hoo walio zaa sijui nini mara nani akuna single mom bila baba alie shindwa majukumu yake au alie kimbia mimba atukatai kuna wengine wana makosa yao ila isiwe wimbo sasa,kama ni kuchapiwa ata uoe bikra kama umeoa mshenzi utachapiwa tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom