Hatari yaku date na single mummyz

Hatari yaku date na single mummyz

Habarini wadau kwanza c kama nawadharau single mumy But natoa tu rai yangu kwa vijana especially vi Ben ten kwamba kutoka kimapenzi na mwanamke aliezalishwa alafu akaachwa ni sawa nakucheza game ambayo mwenzio kaichezaaaa mwishowe kaamua kuisevu kwny simu yake then baadae unakuja wewe nakujitutumua kuanza kuicheza,.......tambua tu mwenye mchezowake akija tu lazima utampisha tu.....be careful vijana nawasilisha tu cjamtusi mtu
Hoja yako iko kwenye kupasha kiporo na wazaz wenzao sio?
Kwa maelezo yako hapo kwenye mambo ya game.
Lakini kuna wanawake sio single mothers lakini watu wanakwenda kucheza GAMES.
Kama unabisha pitia uzi wa 'Kwanini uliachana na mpenzi wako"
'Kwa waliowah kutembea na wake/waume za watu'
 
Ungetoa ushauri kwa vijana wenzio wawe responsible kwa shahawa wanazomwaga ndani ya uchi wa mwanamke

Ama unahisi hao single momma huwa wanazinywa hizo mimba?

Leo nimekunywa OmO manake naona povu povu tu linanitoka
Nakuona nakuona, hilo povu sio la nchi hii
 
Naomba tuwaheshimu single Mums jamani please! Kuna factor nyingi zinazosababisha mtu awe single mother. Mbona single father wapo wengi tu lakini wenzetu hawawapondi single fathers? Sasa iweje mwanaume unaponda single mothers? HESHIMA NI KITU CHA BURE.....huwezi kwenda dukani ukanunua heshima....jiheshimuni WAVULANA tafadhali.

By the way, most of single mothers are best wives.....sababu ni kuwa wanajua uhalisia wa maisha ya mahusiano na mikiki yote ya kutunza mtoto au watoto. Hivyo inapotokea akampata mwanaume mwenye upendo wa kweli daima huwa wanajitoa haswa na huonyesha mapenzi ya dhati. Wapo waliokuwa single mothers na leo wana maisha ya furaha, amani na upendo wa hali ya juu katika ndoa zao na wengine wamekuwa wamama wa mfano katika jamii inayowazunguka.

NB: Mvulana yeyote yule ambaye ana umri wa miaka chini ya 30 (mostly wanachuo/wanafunzi) ndio wanaongoza kuponda single mothers; but atleast Wanaume kuanzia 30 years plus huwa na heshima sana kwa hawa dada zetu single mothers.

Tuelewe ya kwamba mdada au mwanamke kuwa single mother si dhambi....ni MAPITO TU YA MAISHA HAPA DUNIANI (sote tu wasafiri katika hii dunia na tunahitaji ....na wao wanahitaji kupendwa kama wewe unavyotaka kupendwa). Acha dharau.

Mwisho, kama yupo single mother, graduate wa chuo kikuu (bachelor degree holder etc) ambaye hajazidi miaka 30 na anahitaji mwanaume wa maisha yake; naomba ani-PM tafadhali. Naamini ipo siku katika maisha yake atakuja kutoa ushuhuda hapa kwamba kuwa single mother sio DHAMBI.

#RESPECT_TO_ALL_SINGLEMOTHER
 
Ukweli mchungu sana coz naona umetoa povu mixture ya omo foma jamaa na komoa the fact is if u date single mother one day utakuja kuamini nsemacho sabu piga ua wewe sio no1 wake pia amekukubali ili kukufichia aibu asionekane hajaolewa,but kubali,kusaidiwa na mwenyemtoto any time na wengi wanapenda kuzaa watoto wore baba mmoja so kubali pia kubambikiziwa watoto
 
Ungetoa ushauri kwa vijana wenzio wawe responsible kwa shahawa wanazomwaga ndani ya uchi wa mwanamke

Ama unahisi hao single momma huwa wanazinywa hizo mimba?

Leo nimekunywa OmO manake naona povu povu tu linanitoka
Anaekinga shahawa ndo mwenyematatizo ya akili sababu haiwezekani unajua shambalako linambolea alafu unakubali maji yaingie shambani then baadae unaanza kulalama mimea,ikiota kumlaum aliekupa maji......sisi kazi yetu nikuwamwagia tu mana hamna jinsi
 
Mi sijakuelewa kabisaaaa! Endelea na hao dot.com wako....Ila kumbuka kutuletea mrejesho hapahapa. Ndio nyie mnakuja kutulilia hapa Baadae,simwachi single Mum wangu kamwe.
 
Si kweli singo mamiz wanajitambua kinyama akirudi alikotoka ujue umemtenda au we ndo umechangia arudi kama kumuuliza habari za x wake, kumruhusu afanye mawasiliano na kinyago wake wa zamani,
 
Kwahiyo unazani utawazuia watu waliozaa wasiwasiliane hahahaaaaa hiyo kamwe haipo
 
unachokiwaza wewe basi jua ni wewe tu... kila mtu ana IQ yake.... mkuu umechelewa sana kujielewa..!!!!
 
Aisee imenibidi nijizuie sana kutoa povu langu la fire extinguisher.
Kila mwanamke/mwanaume ni potential single mother/father respectively. Kuna sababu nyingi sana zinachangia mtu kuwa single mother/father.

Jiheshimu mkuu! Kuwa na anonymous ID hapa JF isichochee kuanzisha threads za kipuuzi kama hizi. Mwanaume wa kweli anakufa na yaliyomo moyoni mwake.

ONYO: Kubalehe chini ya umri ni hatari kwa akili yako!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom