Hatari ya mafanikio - CHADEMA/UKAWA & Lowassa

Barbarosa acha siasa za kizee hizo enzi hizi!!!
 
Last edited by a moderator:

Wacha kudanganya watu na kuwatia woga. Siku hizi hakuna ubabe wa hovyo kiasi hicho na ndio maana wengi waliofanya hivyo wametoka madarakani na kustaafia The Hague kumalizia uzee wao.
Fikra za kizamani achana nazo
 
Kaka analysis tamu sana hii. Ila kichwa cha habari hakina mvuto wa kufanya watu wengi wafungue uzi wako. Ungeendika kwa mfano Lowasa akienda Ukawa, ccm chali.Au nk.nk. Title yako iko too academic!
 
Siasa ya tanzania imekosa mashiko. Hivi ni kweli ukawa wameamua kumpokea lowassa out of nowhere. Pumba tupu.
 
Wacha kudanganya watu na kuwatia woga. Siku hizi hakuna ubabe wa hovyo kiasi hicho na ndio maana wengi waliofanya hivyo wametoka madarakani na kustaafia The Hague kumalizia uzee wao.


Fikra za kizamani achana nazo
Barbosa bhana. Anadhani serikali zote zilizoondolewa madarakani na upinzani hazikuwa na mavyombo yoote hayo uliyotaja? Nchi za Ulaya na marekani zinashirikiana na serikali yoyote alimradi imeingia madarakani kwa halali kidemokrasia.
 
Barbosa bhana. Anadhani serikali zote zilizoondolewa madarakani na upinzani hazikuwa na mavyombo yoote hayo uliyotaja? Nchi za Ulaya na marekani zinashirikiana na serikali yoyote alimradi imeingia madarakani kwa halali kidemokrasia.

Na hii tabia ya kutia watu woga eti sijui TRA mara nini sijui waache mara moja. Mbona wapo wapinzani wanafanya biashara? Mradi ufate sheria tuu
 
Inawezekana mpango wa Lowassa kwenda ukawa ulipangwa kwa siri iwapo lowassa angekatwa na Membe kuwa mgombea wa ccm na lowassa angejiunga na ukawa wakapambana kwenye uchaguzi ni hapo lowassa angeshinda ila nadhani system iliona hatari iliyopo ikawa hakuna namna ni kumpitisha magufuli na ndio mpango mzima ukavurugika na wafuasi na viongozi wa kambi ya lowassa wakatofautiana kila mmoja akawa kivyake wengine wakawa hawana namna ni kujiunga na magufuli. Sababu kubwa kujitokeza kwa magufuli na nguvu yake kwa wananchi ni mtihani mkubwa sana kwa lowassa na hasa wafadhili wake kwani gharama ya kupambana na magufuli ni kubwa sana kwa wananchi kuliko membe.
Ili lowassa aweze kushinda akiwa ukawa anahitaji pesa nyingi sana za kuwapoza kwanza viongozi wa ukawa na kuanza kutengeneza mtandao mpya kutokana na ule wa mwanzo kufa.
Magufuli imeshakuwa shidaa si kwa Lowassa peke yake hata ukawa inawasumbua na hata umoja unaweza kufa
 
Lowasa anataka Urais kupambana na Umasikini kama umeshamsikia hiyo ndo ajenda yake kubwa, kwakuwa CCM wanapenda umasikini na ujinga ili waendelee kutawala, hiyo imemfanya Lowasa atafute watu wengine wenye malengo ya kuundoa umasikini na ujinga wa watanzania na si wengine ni UKAWA, siku Lowasa anajiunga UKAWA itakuwa ndo mwanzo wa Zama nyingine katika taifa letu, bila CCM kuwa Chama Tawala. Lowasa akiwa Rais atapigana kufa na kupota ku prove kuwa yaliynenwa juu yake si kweli, na watanzania tutanufaika sana na utawala wake.
 

Kwa utumbo ulioharisha hapa na uhakika hujui maana ya demokrasia, tanzania hakuna udikiteta na demokrasia vilevile hakuna. Ila kwa akili zako nimekuona wewe unapoana hakuna udikiteta unaita ni demokrasia aibu ilioje hii? Nenda kajifue upya uje utueleze demokrasia ni nini?
 
War on two fronts is the last thing strategist would wish for.
 
Haya Libya, Misri, Iraq, Yemen walikuwa na mawazo kama yako lakini sasa wamejifunza wanajuta. Kwa hiyo unataka kutuambia nasisi watanzania tujaribu mawazo hayo ili tuje pata tabu ya maisha kwetu na familia zetu? ?

Hamna jinsi lazima mafuriko ya lowasa yawasombe tu, hakuna cha familia wala nini hapa ccm lazima iondoke hata kwa njia haramu.
 
Haya Libya, Misri, Iraq, Yemen walikuwa na mawazo kama yako lakini sasa wamejifunza wanajuta. Kwa hiyo unataka kutuambia nasisi watanzania tujaribu mawazo hayo ili tuje pata tabu ya maisha kwetu na familia zetu? ?

Acha upuz .....na funguka hizo ni akili mgando ...demokrasia maccm hampendi ..na kama ni vita maccm ndo wataanzisha ndo wenye polisi...na silaha...na uache kutupgopesha mwangosi aliuwaa na polisi wa ccm...pia angalia Arusha, watu waliuwawa na polisi ..Ali zona muza magazeti aliuwawa na POLICE CCM....Hivyo acha kupotosha jamii upuzi wako peleka lumumba.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…