Hatari,Vodacom M-PESA si salama

Mzee wa kurekebisha

Senior Member
Sep 29, 2012
178
169
Ni huduma hatari sana hasa pale unapokosea kutoa pesa ikaenda kwa wakala au namba nyingine. Nashangaa kwa hili lililonitokea nilikuwa natoa pesa kwa wakala hapa Songea lakini pesa imeenda kwa wakala ambaye yuko Shinyanga. Mpaka leo nafanya kazi ya kupiga simu fedha hazirudishwi naishia kukatwa 100 tu na hizo 150,000 hazirudi halafu sio mimi tu nimekutana na watu wawilia ambao wanadai mpaka wamechoka.
 
Tatizo kumbe siyo M-pesa...tatizo ni wewe. Kukosea kwako usigeneralize kuwa mpesa siyo salama.
 
ungebadilisha kichwa cha habari. unatisha watu kumbe umefanya uzembe wewe.mpesa zimesaidia sana watu kuanzia kutoa ajira adi uwekaji na utumaji.
watu wengi wenye kipato cha chin na kati wataacha kutumia huduma za bank siku za mbele kutokana na masharti na ukilitimba uliopo bank.
utakapokosea namba usilalamike we nyamaza asa pale utakaposhindwa kuwai kuwapigia huduma kwa wateja
 
Dah, kumbe ni wengi nilifikiri nikopeke yangu yaani hawa jamaa wa Voda sijui
vipi. Hata miminaambiwa nisichoke kupiga simu na mpaka sasa nimepiga zaidi ya mara 20
kudai shilingi 38,000 tu ambazo zilienda kwa wakala mwingine

Hata miminashangaa kwani sikuandika namba ya huyo wakala sijui imekujaje tena dakika 2
baada ya tatizo hilo nilipiga simu lakini hawakunisaidia yaani toka tarehe 22/6/13 mpaka leo
hawataki kurudisha na ushahidi ni huu hapa chini.
R98ZY852 imethibitishwa tarehe 22/6/13 saa 9:36PM
Toa tsh38,000 kutoka 859138 - ESMAIL ATHUMANI
SHABANI salio lako jipya la MPESA ni Tsh700.

Jamaa hawana msaada kabisa ni wasumbufu sana na
nina wasiwasi ni wezi ndio maana jina haliji mpaka pesa
iwe imetumwa tofauti na tigo ambao linakuja jina kwanza
 
Tatizo kumbe siyo M-pesa...tatizo ni wewe. Kukosea kwako usigeneralize kuwa mpesa siyo salama.

Kwenye transaction zote zinazohusisha fedha kwa njia ya electronic LAZIMA kuwe na mechanism ya 1. Kumsaidia mteja asifanye makosa rahisi katika transaction 2. Ku-recover fedha zake iwapo itatokea akakosea transaction. Hi ni kazi ya yule mtoa huduma eg vodacom na hawezi kusema ni uzembe wako! Record zote zipo kwanini ishindikane?
 
Mkuu Kampuni kama hizi zinatakiwa kuweka mechanism ya kuzuia makosa ya bahati mbaya kama haya. Inaonyesha kutumia hiyo m-pesa ni rahisi sana kupeleka fedha kwa mtu usiyekusudi!
 
Kwenye transaction zote zinazohusisha fedha kwa njia ya electronic LAZIMA kuwe na mechanism ya 1. Kumsaidia mteja asifanye makosa rahisi katika transaction 2. Ku-recover fedha zake iwapo itatokea akakosea transaction. Hi ni kazi ya yule mtoa huduma eg vodacom na hawezi kusema ni uzembe wako! Record zote zipo kwanini ishindikane?
Mkuu uko sahihi binafsi niliwapigia simu dakika mbili baada ya tatizo kutokea lakini mpaka
leo VODA wameshindwa kunirudishia Tsh 38,000 tu. Kweli mfumo wao si nzuri sana wanatakiwa
kurekebisha ili mtu uweze kuthibitisha kama wanavyofanya TIGO.
 
Na siku ukilewa ukalala choooni badala ya chumbani kwako uje uwalaumu vodacom hapa
 
Tuko pamoja mkuu! Mfano ukiwa unataka ku-delete document ya microsoft word kwanza inakuliza u-confirm na hata uki-confirm bado kitu ulicho-delete kinaenda kwenye recycle bin. Waliofanya hivi sio wajinga! Wanajua kabisa kuna watumiaji wa aina nyingi na wako kwenye mood tofauti tofauti kwa muda tofauti, hivyo basi kukosea ni part and parcel ya utumiaji wa computer application yoyote. Designer yeyote anatengeneza application bila kuweka hivi vitu maanani amekosea principle kubwa kabisa ya designing!
 
Na siku ukilewa ukalala choooni badala ya chumbani kwako uje uwalaumu vodacom hapa
Mkuu acha kulaumu kwa kuwa Baba yako mdogo anafanya kazi VODACOM hata mimisijarudishiwa
20,000 zangu mpaka leo nimesamehe na sijajisumbua kuuliza tena. Yuko pia na rafiki yangu alikuwa
anadai 15,000 ambapo aliambiwa kuwa wakala hayuko active lakini ameshindwa kurudishiwa pesa
pia. Lazimatukubali tu huduma zao mbovu ingawa wengine hatujaja jukwaani kulalamika.
 
Tatizo kumbe siyo M-pesa...tatizo ni wewe. Kukosea kwako usigeneralize kuwa mpesa siyo salama.
Kama hao M-pesa wangekuwa makini wangejua aina ya wateja inaowahudumia, mfano wenye matatizo ya kifamilia, n.k. Namna mojawapo ya kuhakikisha wateja hawatumi pesa kwa watu ambao hawakuwakusudia ni kuwaletea majina ya wenye namba husika na kuwataka wasibitishe kama wamekusudia kuwatumia hao;hata makampuni mengine wanatumia njia hii. Sasa kama Mpesa hawafanyi hivyo, basi hawawezi kukwepa lawama.
 
Ni huduma hatari sana hasa pale unapokosea kutoa pesa ikaenda kwa wakala au
namba nyingine. Nashangaa kwa hili lililonitokea nilikuwa natoa pesa
kwa wakala hapa Songea lakini pesa imeenda kwa wakala ambaye yuko
Shinyanga. Mpaka leo nafanya kazi ya kupiga simu fedha hazirudishwi naishia kukatwa 100
tu na hizo 150,000 hazirudi halafu sio mimi tu nimekutana na watu wawilia ambao wanadai mpaka
wamechoka.
Habari,ukiuliza unaambiwa kule kwa wakala pesa ipo au haipo?
 
Dah, kumbe ni wengi nilifikiri nikopeke yangu yaani hawa jamaa wa Voda sijui
vipi. Hata miminaambiwa nisichoke kupiga simu na mpaka sasa nimepiga zaidi ya mara 20
kudai shilingi 38,000 tu ambazo zilienda kwa wakala mwingine

Hata miminashangaa kwani sikuandika namba ya huyo wakala sijui imekujaje tena dakika 2
baada ya tatizo hilo nilipiga simu lakini hawakunisaidia yaani toka tarehe 22/6/13 mpaka leo
hawataki kurudisha na ushahidi ni huu hapa chini.
R98ZY852 imethibitishwa tarehe 22/6/13 saa 9:36PM
Toa tsh38,000 kutoka 859138 - ESMAIL ATHUMANI
SHABANI salio lako jipya la MPESA ni Tsh700.

Jamaa hawana msaada kabisa ni wasumbufu sana na
nina wasiwasi ni wezi ndio maana jina haliji mpaka pesa
iwe imetumwa tofauti na tigo ambao linakuja jina kwanza

Nikumbushe ksho nikusaidie.
 
mkuu mbona hii issue ni rahisi sana kwa voda? piga simu akipokea jinsia ya kike kata anakuwa hana msaada ongea na jinsia ya kiume fasta anakusaidia
 
Ni huduma hatari sana hasa pale unapokosea kutoa pesa ikaenda kwa wakala au
namba nyingine. Nashangaa kwa hili lililonitokea nilikuwa natoa pesa
kwa wakala hapa Songea lakini pesa imeenda kwa wakala ambaye yuko
Shinyanga. Mpaka leo nafanya kazi ya kupiga simu fedha hazirudishwi naishia kukatwa 100
tu na hizo 150,000 hazirudi halafu sio mimi tu nimekutana na watu wawilia ambao wanadai mpaka
wamechoka.

mkuu pole sana hili tatizo linatokea mara nying na mara nyingi pesa ikienda kwa wakala mwingine baada ya mda inarud kwako tena kama haijarud ukiwapigia voda wanakuambiaje? nikishajua jibu wanalokupa nitakushaur nn ufanye.
 
Naambiwa wakala hana Pesa au system inasumbua.
 
kamanda, kwa hilo salio la 700 ulikuwa na sababu zote za kulalamika, maana inaelekea ndilo lilibaki kama risasi ya nwisho!!
Dah, kumbe ni wengi nilifikiri nikopeke yangu yaani hawa jamaa wa Voda sijui
vipi. Hata miminaambiwa nisichoke kupiga simu na mpaka sasa nimepiga zaidi ya mara 20
kudai shilingi 38,000 tu ambazo zilienda kwa wakala mwingine

Hata miminashangaa kwani sikuandika namba ya huyo wakala sijui imekujaje tena dakika 2
baada ya tatizo hilo nilipiga simu lakini hawakunisaidia yaani toka tarehe 22/6/13 mpaka leo
hawataki kurudisha na ushahidi ni huu hapa chini.
R98ZY852 imethibitishwa tarehe 22/6/13 saa 9:36PM
Toa tsh38,000 kutoka 859138 - ESMAIL ATHUMANI
SHABANI salio lako jipya la MPESA ni Tsh700.

Jamaa hawana msaada kabisa ni wasumbufu sana na
nina wasiwasi ni wezi ndio maana jina haliji mpaka pesa
iwe imetumwa tofauti na tigo ambao linakuja jina kwanza
 
Ni huduma hatari sana hasa pale unapokosea kutoa pesa ikaenda kwa wakala au
namba nyingine. Nashangaa kwa hili lililonitokea nilikuwa natoa pesa
kwa wakala hapa Songea lakini pesa imeenda kwa wakala ambaye yuko
Shinyanga. Mpaka leo nafanya kazi ya kupiga simu fedha hazirudishwi naishia kukatwa 100
tu na hizo 150,000 hazirudi halafu sio mimi tu nimekutana na watu wawilia ambao wanadai mpaka
wamechoka.
Sasa hapo sio uzembe wako mwenyewe?
 
Back
Top Bottom