Morg
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 1,299
- 1,804
Ndugu zang najua nyote wazma Pole na majukumu ya hapa na pale
Main titles ya hii threads ni kutoa angalizo Kuna ugonjwa mpy umetanda katka sura yanchi yetu pendwa Tz unaitwa Homa ya Ini na mbaya Zaid inasambazwa kwa njia ya jasho baina ya two people na isitoshe Haina tiba bali ina Kinga tu na ni ugonjwa hatari sana na many people wamekutwa wanao huu ugonjwa na serikali yetu imetoa jitihada za kutoa chanjo kwa raia wake katka vituo vya kutolea Afya
Wahi kapime na upewe Kinga before it's too late u have time
Be careful hakun tena kukumbatiana ovyo kusalimiana na mikono no lkn swali ni kwamba ktka usafiri wetu wa umma I mean mwendokac and daladala tutapona kweli
Kuna wajuzi humu watupe detail about this desister