Weka baaaaariiaaa...jaamaaniiiii(manifongoz voice)Wooozah wozaa
Utaachaje kwa mfanoNtaweza kuacha "chair-fire" kweliii...![]()


Mm siwezi jomoniii...mdudu mtam nyie na Heineken...mmh hapana,.kufa kupo tyuuuUtaachaje kwa mfano![]()
Niko Fyatanga hapa inavyonukia ukweli siwezi acha!Miaka ya nyuma nilifanikiwa kuacha kwa muda ila sasa...tumbo niachie...
Halafuuu kingine nimegundua haya magonjwa yanayosemekana kusababishwa na nyama yanaendena na location,hivi ushawahi kujiuliza kwa nini kwenye fomu ya hospitali wanajaza eneo ulilotoka....?!ukitokea masaki,mbezi,sinza ...nk...doctor utasikia ''acha nyama wewe utakufa!..manzese,mbagala, nk....utasikia....kula nyama wewe utakufaa!!mwili wako una upungufu wa protini.......
Anyway hata hivyo hii ni mbinu nzuri ya kuwajibu watoto utakapoanza kuwalisha majani kama mbuzi vyuma vikikaza....
Mm siwezi jomoniii...mdudu mtam nyie na Heineken...mmh hapana,.kufa kupo tyuuu



kwa style hyo ukibonge unakuhusuLaw of use and dis use, ahsanteUsipokula nyama hufi????? Je life span ya msiokula nyama ni miaka mingapi?
Yakufaidi nini unapokufa na maini mazima? Kongosho zima?
Huoni usipotumia vitu mbalimvali ini linalemaa? Halina kazi yani sawa na demu àfe na bikra ni upuuzi...
Mwishoe utasema tusinywe na pombe...
Mkuu hivi kilimo cha mboga na matunda hakuna ukatili??Spiritually na mimi pia huona ukatili uliopo kwenye process nzima ya kuchinja,kuchuna hadi kula nyama ya mnyama yeyote! Sidhani kama ni. Halali kwetu kutoa uhai wa mnyama mwenzetu ili tu kukidhi tamaa zetu za kimwili!
Sio rahisi kama kuacha bia...
Mm siwezi jomoniii...mdudu mtam nyie na Heineken...mmh hapana,.kufa kupo tyuuu
Atakuwa msabato huyu ndugu! Asituchoshe na itikadi zakeUna umri gani weye? Tumekula nyama miaka kibao na hatujapata hata mafua ya ndege weye kwa kukosa uwezo wa kupata nyama unaleta riwaya humu?? Acha mtu akule ile kitu loho inatamani. Nitazila hadi kaburini. Wewe enendelea kula majani ka ng'ombe tuache tule nyam ya ng'ombe bora iwe imechinjwaa.
Hahahah usinambie hadi tumbo la uzazi limecheza nalo??Umetetemesha tumbo langu. Mdudu roast wanamix na ndizi na pilipili na Heineken baaariiiidii
Sio rahisi kama kuacha punyeto,.Kuacha bia mchezo unadhani ndugu yangu?
Yaani kila nikiamka asbh nakimbilia kujiangalia kwa kioo kama nimekonda,sio kwa ubonge huu lakini thikomiii mweee...kwa style hyo ukibonge unakuhusu
Yaani kila nikiamka asbh nakimbilia kujiangalia kwa kioo kama nimekonda,sio kwa ubonge huu lakini thikomiii mweee...






Na kweli humu hakuna hata mmoja atakae thubutu kufika mwaka 3000..wote tutakuwa marehemu wakati huo...Mwisho wa siku wote tutakufa, ivi kuku ni nyama au mboga?