jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 10,942
- 10,559
Ni sehemu pekee TZ waweza kuishi zaidi ya kipato chako...
Ni sehemu pekee tena TZ waweza kukaa chini ya mti, nje ya mafremu ya biashara na kuvuta sigara, kunywa maji na hata kula milo 2 bila kufanya kazi yoyote ila ukafaidi kwa kutumia kauli yako..
Mishe mishe ziko nyingi mno labda usitumie akili yako vyema...
Shikamoo siyo lazima hata kwa kijana uliyemzidi umri sana sana au mzee aliyekuzidi umri!
Kupeana salamu siyo shuruti ila hakikisha hutawaomba msaada hao wadau...
Utalala njaa kwa kujitakia, waweza menya viazi vya chipsi, fanya usafi, okota chupa, osha magari/pikipiki, Bajaj, malori, daladala, beba vitu na mkokoteni nk nk nk
Kuwa smart ni sababu ya kwanza usilale njaa, pili usichaguwe kazi, tatu fanya kwa nguvu, ufanisi na maarifa, mwisho jitahidi uwe CHAWA!