Hatari na hasara za kuishi Dar es Salaam

Mjusi Sharobalo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2025
Posts
7,442
Reaction score
12,709
Dar es salaam ni Town City pekee nchini kwetu ambapo unaweza kukutana na watu wa kila aina, asili na tabia tofautitofauti.

Hapa bwana unaweza kumtongoza mwanamke leo, na mkamalizana leoleo bila longolongo. Ni sehemu pekee unaweza kumsalimia mtu mkubwa kwako salamu yenye heshima, na akakujibu "Jamani unataka kuninyima nini.' Ni jiji pekee lisilokua na amani miongoni mwa majirani au wapangaji katika nyumba moja.

Ni sehemu ambayo inahitaji uelewa mkubwa ili uweze kuishi na watu vyema. Je ni mbinu gani unatumia kukwepa changamoto na vijambo vya mara kwa mara jijini hapa?.
 
Dar es salaam ni Town City pekee nchini kwetu ambapo unaweza kukutana na watu wa kila aina, asili na tabia tofautitofauti.

Hapa bwana unaweza kumtongoza mwanamke leo, na mkamalizana leoleo bila longolongo. Ni sehemu pekee unaweza kumsalimia mtu mkubwa kwako salamu yenye heshima, na akakujibu "Jamani unataka kuninyima nini.' Ni jiji pekee lisilokua na amani miongoni mwa majirani au wapangaji katika nyumba moja.

Ni sehemu ambayo inahitaji uelewa mkubwa ili uweze kuishi na watu vyema. Je ni mbinu gani unatumia kukwepa changamoto na vijambo vya mala kwa mala jijini hapa?.
 
sijala mkuu wangu, nukupe lipa namba urushe hata ka 50k
Usijari siku hizi teknolojia ya mazingaombwe imeendelea mbele, inatuma hadi pesa kama M-PESA, haina haja ya lipa namba we funua tu kitanda uvute noti ukale kijana wangu...
 
Dar ni jiji la pilika nyingi kwa watu wa rika zote. Kumuamini mtu usiemjua hata kwa uchache dasalama ni kosa kubwa sana linaloweza kukugharimu maisha yako yote. Kwenye hili nna kisa kimoja kilitaka nitokea sema mr machale nikashtuka.

Dasalama kusimamishwa na mtu kavaa vizuri kukuzidi alafu anakuomba jero ya nauli ni kitu ya kawaida.
 
Ni hatari sana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom