relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,429
- 5,471
Tatizo liko wapi mkuu nyingine tumenunua dawa,mishahara , reli ya standard gauge,bombadia,dreamliner na mengine mengi tu.Acha utoto. Tunahaki ya kuhoji matumizi ya kodi tunazotoa.
Tatizo liko wapi mkuu nyingine tumenunua dawa,mishahara , reli ya standard gauge,bombadia,dreamliner na mengine mengi tu.Acha utoto. Tunahaki ya kuhoji matumizi ya kodi tunazotoa.
Weeeee!!!!Baadhi ya matatizo yaliyogundulika ya aina hii ya ndege ni pamoja na matatizo ya betri ambayo hutumia "lithium" na kusababisha matatizo ya mfumo wa umeme.Mathalan ndege za All Nippon Airways na Japan Airlines ziliwahi kuwaka moto uliotokana na hitilafu ya umeme.Kadhalika ndege ya United Airlines 787 ya marekani iliwahi kukumbwa na tatizo kama hilo lakini kwa bahati yenyewe haikuwaka moto. Matatizo haya yamesababisha Federal Aviation Administration (FAA ) kuuchunguza muundo wa ndege na kutoa ushauri wa kurekebisha.Katika matukio kadhaa FAA ilizuia kabisa ndege hiyo kuruka.Kadhalika imeelezwa kuwa katika ndege mpya 40 zilizotengenezwa za Dreamliner zilikuwa na tatizo katika uundaji wa mabaw a yake...Faida kubwa ya ndege hizi inaelezwa ni gharama za kuzitunza ikiwa chini kwa wastani wa asilimia 30 wakati zile za uendeshaji zukipungua kwa wastani wa asilimia 15.Maoni yangu kwa wazee wa maamuzi ya "mwendokasi" ilikuwa ni bora kufanya utafiti kama wapandaji au wateja watarajiwa wanazichukuliaje ndege hizi ambazo Ethiopia wameshaanza zitumia kwa Africa...kwani faida ya wateja wa nchi za magharibi kuchagua ndege gani apande kwao gharama sio "issue" saana kama nifanyavyo mimi na wewe "wazee wa fastjet" bali kwao usalama ndio "priority"...Tusijepoteza mabilioni arafu tukaishia kumlaumu "Wele Malechela and the likes" kama visingizio kama kawaida yetu kutafuta majawabu kwa njaa ya mkato.
Hivi kumiliki ndege ni kipaumbele kwa sasa?Tatizo liko wapi mkuu nyingine tumenunua dawa,mishahara , reli ya standard gauge,bombadia,dreamliner na mengine mengi tu.
Ww unasubir buku7lumumba!?jitoe ufahamu!Mkuu kijana wa ufipa kashaandika chochote yuko kwenye foleni ufipa anasubili chochote apate sembe usawa mgumu huu.
Viko vingi lkn dreamliner ni miongoni mwa vipaumbele vyetu,hii ni serikali ya mwendo kasi kila kitu kwetu ni kipaumbele barabara,madawa,usafiri wa majini hakuna tulichoacha lkn dreamliner imewashika,kumbuka pia binadamu hamlidhiki kama wewe umekaa nyuma ya huawei y300 huna wasiwasi serikali yaweza kuletea kila kitu kuanzia hospitali,mavazi,chakula,na viburudisho lkn kwa ajili za ufipa utaulizia mbona choo mmesahau,nyie mtulie someni namba.[emoji2] [emoji2] [emoji2]Hivi kumiliki ndege ni kipaumbele kwa sasa?
Lini tulishafanikiwa ktk Vipaumbele?Hivi kumiliki ndege ni kipaumbele kwa sasa?
Sipendi CCM ila kwa hili upo sahihi. Wakae kmya CCM ijishauri yenyewe huku ikifa taratibu.Nadhani ungejikita kukishauri chama chenu kijenge ofisi kiondoke kwenye makazi ya watu kule ufipa..
Wangapi watamudu gharama ya hiyo ndege?Viko vingi lkn dreamliner ni miongoni mwa vipaumbele vyetu,hii ni serikali ya mwendo kasi kila kitu kwetu ni kipaumbele barabara,madawa,usafiri wa majini hakuna tulichoacha lkn dreamliner imewashika,kumbuka pia binadamu hamlidhiki kama wewe umekaa nyuma ya huawei y300 huna wasiwasi serikali yaweza kuletea kila kitu kuanzia hospitali,mavazi,chakula,na viburudisho lkn kwa ajili za ufipa utaulizia mbona choo mmesahau,nyie mtulie someni namba.[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kasenene,
Kwanza inabidi ukubali kwamba ndege hii ya aina B787-800 ni ndege ya abiria ya kisasa zaidi kuliko ndege nyingine kutokana na teknologia kuanzia kwenye avionics, engine, bodi na vinginevyo[kutotumia hydraulics n.k.
Bodi pamoja na mabawa ya ndege hii, kwa mara ya kwanza yameundwa kutokana na ‘carbon fibre composite badala ya aluminium ambayo imekuwa ikitumika kwenye ndege za aibiria kwa miaka mingi sana.
Kwa ufupi, bodi ya ndege hii, kwa asilimia 50% imetumika carbon composite fibre, asilimia 20% madini ya aluminium, asilimia 15% titanium na 15% madini ya aina nyingine.
Kutokana na hali hii, ndege hii imekuwa nyepesi kwa zaidi ya asilimia 50 % ukilinganisha na ndege nyingine yenye ukubwa huo. Matokeo yake ni kwamba B787-800 inabeba abiria na mizigo zaidi na wakati huohuo inatumia mafuta pungufu ya asilimia 20% , kelele za engine nazo zimepungua sana na ndege hizi husafiri mbali zaidi ukilinganisha na ndege nyingine za daraja hii kwa ulinganifu wa safari inaweza kwenda umbali wa km 13,600 bila kutua mahala.
Faida nyingine ni kama ulivyoeleza kuwa gharama za uendeshaji na utunzaji wa ndege hizi ni chini zaidi ya ndege nyingine yoyote ile ya daraja la ndege hii.
Matatizo yote uliyoyaeleza yalikwisha shughulikiwa tangu 2013 na FAA walitoa certification.
Kwa ndege nyenye kutumumia teknologia na mifumoya mipya kabisa ambayo haijawahi tumika kwenye ndege za abiria, haikuwa ajabu matatizo yale kujitokeza. Hadi sasa mashirika karibu 45 aidha yame oda ndege zinazo fikia 431 ambapo karibu oda ya ndege 320 zimeshawasilishwa kwa watejana tayari baadhi ya oda zao wameshapata na zinafanyakazi kama ilivyotarajiwa.
Kwa Air Tanzania kuwa na ndege hizi itakuwa faida kubwa sana maana hadi sasa ina makubaliano na nchi nyingi [BASA] lakini haifaidiki kwa vile haina ndege zake wenyewe.
Ofisi ya kukodi na dreamliner wapi na wapi,?Nadhani ungejikita kukishauri chama chenu kijenge ofisi kiondoke kwenye makazi ya watu kule ufipa..
"Five Hotel Delta Lima November, this is JKNIA Tower, you are cleared for landing on runway 1,![]()
Hakuna kitu kama hicho.
Dar es Salaam Tower,Dar es Salaam Tower, (JKNIA)
This is Five Hotel......Delta Lima November....
Request Landing Clearance from JFK
QNH.... One Zero One Five
238 Soul on Board..........Daaaaah nyie vepee mbona hampendi rahaaa .......
Sasa kama hayo matatitizo yamesharipotiwa manufacturer Si Atakua amesharectify.
Wewe utaalamu wa ndege uneanza lini?? Hata bombardier mlisema hvyo hvyo ila leo zinabamba na Dj aliongoza msafara kuwahi siti ya dirishani.Baadhi ya matatizo yaliyogundulika ya aina hii ya ndege ni pamoja na matatizo ya betri ambayo hutumia "lithium" na kusababisha matatizo ya mfumo wa umeme.Mathalan ndege za All Nippon Airways na Japan Airlines ziliwahi kuwaka moto uliotokana na hitilafu ya umeme.Kadhalika ndege ya United Airlines 787 ya marekani iliwahi kukumbwa na tatizo kama hilo lakini kwa bahati yenyewe haikuwaka moto. Matatizo haya yamesababisha Federal Aviation Administration (FAA ) kuuchunguza muundo wa ndege na kutoa ushauri wa kurekebisha.Katika matukio kadhaa FAA ilizuia kabisa ndege hiyo kuruka.Kadhalika imeelezwa kuwa katika ndege mpya 40 zilizotengenezwa za Dreamliner zilikuwa na tatizo katika uundaji wa mabaw a yake...Faida kubwa ya ndege hizi inaelezwa ni gharama za kuzitunza ikiwa chini kwa wastani wa asilimia 30 wakati zile za uendeshaji zukipungua kwa wastani wa asilimia 15.Maoni yangu kwa wazee wa maamuzi ya "mwendokasi" ilikuwa ni bora kufanya utafiti kama wapandaji au wateja watarajiwa wanazichukuliaje ndege hizi ambazo Ethiopia wameshaanza zitumia kwa Africa...kwani faida ya wateja wa nchi za magharibi kuchagua ndege gani apande kwao gharama sio "issue" saana kama nifanyavyo mimi na wewe "wazee wa fastjet" bali kwao usalama ndio "priority"...Tusijepoteza mabilioni arafu tukaishia kumlaumu "Wele Malechela and the likes" kama visingizio kama kawaida yetu kutafuta majawabu kwa njaa ya mkato.
Nipe madhaifu ya air force one niyaoneMkuu ww ufipa nini? Kwanini hamkosi cha kukosoa sasa hapa umekuja na kautafiti ka kinafki,nikuulize hivi kuna kitu kinatengenezwa bila madhaifu/faida,kwa hiyo tuzingatie uliyosema tukanunue airbus,au emberer kama za fastjet ndio ziko safi,tumenunua q400 mmeziponda ooooh bajaj,zinapiga kazi nnanuna,juzi imeshindwa kugeuka kutoka na na ufinyu wa uwanja mmefurahia,Leo dreamliner unakuja na kautafiti finyu,na nadhani ingekuwa sisi ndio wa kwanza kuinunua mngejaza sledi,tumeshalipia mkuu wacha ije,na nyie mkumbuke ofisi binafsi hamna ile ya ufipa ya kukodi hilo nalo tatizo