relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,429
- 5,471
Acha uvivu google? Kwani airforce itumikayo Leo unadhani ilikuwepo mpaka 60 kabla ukipata majibu leteNipe madhaifu ya air force one niyaone
Acha uvivu google? Kwani airforce itumikayo Leo unadhani ilikuwepo mpaka 60 kabla ukipata majibu leteNipe madhaifu ya air force one niyaone
Ni vingi tu watapata maji safi na salama wakimaliza hilo,pia watataka hata watakapokufa makaburi yao yawe safi na salama tena yakihudumiwa na serikali.Wangapi watamudu gharama ya hiyo ndege?
Hizo hela zingetosha kuhudumia vijiji vingapi vipate maji safi na salama?
Ukomboz unakarbia ..tulia ww buku 7Nadhani ungejikita kukishauri chama chenu kijenge ofisi kiondoke kwenye makazi ya watu kule ufipa..
Naam mkuu mshana jrbarafu jongea pande hii tafadhali
Hivi kwani kuna aina ya ndege inaitwa "Airforce One?"...Mkuu sony2 ,Airforce one siyo "Type of the Aircraft" bali ni "Call sign" ya ndege anamokuwepo Rais wa US...Nipe madhaifu ya air force one niyaone
Mkuu uneongea maneno mazuri kabisa,lkn sisi ndugu zenu wa ufipa hatuwaelewi kabisa sijui kwaniniView attachment 448364
Naam mkuu mshana jr
Ni kweli Boeing 787-Dreamliner zilikuwa na "battery malfunction".Na kuna "incidence" kadhaa zililipotiwa zinazosababishwa na tatizo la battery za ndege hii na hivyo kuletelezea moto kuwaka.
Wakaamua Fleet yote ya B787 kurudishwa kiwandani ili kufanyiwa uchunguzi.Kulikuwa na ndege za shirika moja la Poland,ANA,Ethiopina Airways na Japan.Moja ya Ethiopia ambayo pia mwaka 2013 waliileta kwa mara ya kwanza Dsm-Tanzania nayo iliwaka moto pale Heathrow Int'nal Airport,London.
Jamaa wakaamua kuzirudisha zote kiwandani ili waone tatizo,hii ya kurudisha ndege zote kiwandani haikuwahi kutokea hivi karibuni,mara ya mwisho ilikuwa 1979 ambapo ndege aina McDonnel Douglass DC-10 zilizporudishwa kiwanda baada ya kuwa zinapata sana ajali.
Mpaka sasa tatizo hilo limerekebishwa,na ndio maana unaoana Dremliner zipo hewani.FAA(Federal Aviation Admnistration) ndio wanahusika na ubora wa ndege zinazotengenezwa US...Wamethibitisha kuwa sasa ni salama kusafiri na B787-Dreamliner.
mshana jr unamuona huyo mnyama hapo juu??Ndio Ethiopia walimnunua mwanzoni kabisa na wakampa jina la "QUEEN OF SHEBA" ambaye aliwaka moto pale London.Wakanunua nyingine wakaipa jina la "ABEBE BIKILA".Huyu ABEBE alikuwa mwanariadha wa mwanzo kabisa wa Ethiopia aliyekuwa anakimbia pekupeku miaka hiyo na kuleta medali nyumbani,na nyingine wameipa jina la "Ngorongoro"
Matsushita hakijafa...kimebadilishwa jina na kuwa Panasonic Battery.We senene ndogo, nani kakwambia kuwa urukaji wa Dreamliner na urukaji wa senene ni sawa?
Dreamliner inaratibiwa, sio blah blah. Kama tatizo ni betri, tutafufua kiwanda chetu cha Matsushita na ndege zetu zitatumia National na Panasonic...alaaaa, hii nchi ya viwanda we vipi.
Watalii watakuwa wanapanda ndege sio senene
Air force one ni Boeing na nyie mmesema hakuna kitu kinachokosa madhaifu ndio maana nasema lete madhaifu yakeHivi kwani kuna aina ya ndege inaitwa "Airforce One?"...Mkuu sony2 ,Airforce one siyo "Type of the Aircraft" bali ni "Call sign" ya ndege anamokuwepo Rais wa US...
Ukitaka kuelewa tofauti hii,niite tena hapa tutaelezana!!Asante
Hivi nyie wafipa mueleweshwe mpaka lini? Serikali hainunui ndege ili watanzania wote wapande, Bali ni kwa biashara pia kuongeza ufanisi kwenye sekta ya utalii ili tuwe na direct flight kwa watalii,Wangapi watamudu gharama ya hiyo ndege?
Hizo hela zingetosha kuhudumia vijiji vingapi vipate maji safi na salama?
Katika matukio kadhaa FAA ilizuia kabisa ndege hiyo kuruka
Maoni yangu kwa wazee wa maamuzi ya "mwendokasi" ilikuwa ni bora kufanya utafiti kama wapandaji au wateja watarajiwa wanazichukuliaje ndege hizi ambazo Ethiopia wameshaanza zitumia kwa Africa...kwani faida ya wateja wa nchi za magharibi kuchagua ndege gani apande kwao gharama sio "issue"
arafu
Pussy Mind.Mkuu ww ufipa nini? Kwanini hamkosi cha kukosoa sasa hapa umekuja na kautafiti ka kinafki,nikuulize hivi kuna kitu kinatengenezwa bila madhaifu/faida,kwa hiyo tuzingatie uliyosema tukanunue airbus,au emberer kama za fastjet ndio ziko safi,tumenunua q400 mmeziponda ooooh bajaj,zinapiga kazi nnanuna,juzi imeshindwa kugeuka kutoka na na ufinyu wa uwanja mmefurahia,Leo dreamliner unakuja na kautafiti finyu,na nadhani ingekuwa sisi ndio wa kwanza kuinunua mngejaza sledi,tumeshalipia mkuu wacha ije,na nyie mkumbuke ofisi binafsi hamna ile ya ufipa ya kukodi hilo nalo tatizo
Umeona Tumbo hilo unategemea mchango gani wa maana atakupaAcha utoto. Tunahaki ya kuhoji matumizi ya kodi tunazotoa.
Mambo ya afya mkuu[emoji2] [emoji2] [emoji2]Umeona Tumbo hilo unategemea mchango gani wa maana atakupa
Mbuzi wanamiliki siti mpk DubaiTulijua mtajitokeza wale mabingwa wa kubeza