Hatari: Mganga akutwa akiroga Mahakamani

Hatari: Mganga akutwa akiroga Mahakamani

kisheria sidhani kama anahatia, wanamwonea tu. na ramli chonganishi ndiyo kitu gani? kisheria imekaaje?

Mbona wamekamatwa,chunguza kwanza sababu ya kukamatwa kwao.Ukumbuke kufanya uganga bila kibali rasmi kisheria ni kosa,kama ni jinai au vinginevyo sijui.
 
Waganga wanaweza kuwa noma tu wakati mwingine

Wengine wanasaidia tiba mbali mbali,ni taaluma fulani,lakini wengi huwa ni waongo,hasa watoa ramli chonganishi.Akiuambia ulete kiungo;huyo ni fake tena hafai,Acha wapoe mun'ganda kwanza.
 
Je ukikutwa mahakamani unaomba, unakemea pepo la kukutwa na hatia? Maana naona hilo ni suala la imani walilokuwa wakilifanya hao watu wa Bunda.
 
Tatizo sio kujua maana tatizo ni je suala hili lipo chini ya sheria gani na je sheria hiyo imetafsiri au kuna mazingira yameonyeshwa kwamba ukifanya hivi itamaanisha ni kosa na itaamount ramli chonganishi. Tukumbuke tu kuwa chochote kinachfanyika ambacho hakipo kwenye sheria na muhusika akamuadhibu' aliemuadhibu anakua amekiuka misingi ya kisheria
 
wenye hele wanatumia hela kushinda kesi basi wachen waganga watumia uganga wao washinde kes
 
Wengine wanasaidia tiba mbali mbali,ni taaluma fulani,lakini wengi huwa ni waongo,hasa watoa ramli chonganishi.Akiuambia ulete kiungo;huyo ni fake tena hafai,Acha wapoe mun'ganda kwanza.

kwel kabxa..
 
THE WITCHCRAFT ACT, CAP 18, LAWS OF TANZANIA

"witchcraft" includes sorcery, enchantment, bewitching, the use of
instrument of witchcraft, the purported exercise of any occult power
and the purported possession of any occult knowledge.

3. Any person who–
(a) by his statements or actions represents himself to have the
power of witchcraft;
(b) makes, uses, has in his possession or represents himself to
possess any instruments of witchcraft;
(c) supplies to any other person any instrument of witchcraft;
(d) advises any other person upon the use of witchcraft or any
instrument of witchcraft; or
(e) threatens to use or resorts to the use of witchcraft or any
instrument of witchcraft upon or against any person or
property,
commits an offence under this Act.

5.-(1) Any person who commits an offence under this Act with
intent to cause death, disease, injury, or misfortune to any community, class
of persons, person, or animal, or to cause injury to any property shall be
liable to imprisonment not less than seven years.
(2) Any person who commits an offence under this Act without any
intent such as is described in subsection (1) of this section shall be liable to
a fine of not less than one hundred thousand shillings or imprisonment of
not less than five years.
 
ewaaa, umekuja mulemule. hapo wewe unadhani mpumbavu ni nani? wewe unaweza kuamini maneno kama hayo?
serikali yenyewe haitambui uchawi, labda kama kuna marekebisho ya sheria yalinipita.
kwa hiyo waliokamatwa "wanawanga" mahakamani wanashitakiwa kwa kosa lipi?
wewe kama hauna imani na haushiriki mambo hayo mwache arukeruke wee hakufanyi lolote ancheza utamaduni tu.

Nimependa ulivojibu..kisomi zaidi..ungekua umeweka R na L ningekufananisha na mtu fulani
 
Imekula kwao,wangeomba kabla hawajakamatwa,si kama ndivyo waombe watoke kimiujiza?

Chamba matwe hapo ndio ujue kuwa imani za kishirikina hazina lolote,ni mbwembwe tu za watu.Yesu ndo mwanaume wale akina Paulo na Sira si waliomba Mungu na gereza likafunguka?.Hiyo ndo imani ya kweli zingine ni ubabaishaji na kuhangaika kimaisha.
 
Tatizo sio kujua maana tatizo ni je suala hili lipo chini ya sheria gani na je sheria hiyo imetafsiri au kuna mazingira yameonyeshwa kwamba ukifanya hivi itamaanisha ni kosa na itaamount ramli chonganishi. Tukumbuke tu kuwa chochote kinachfanyika ambacho hakipo kwenye sheria na muhusika akamuadhibu' aliemuadhibu anakua amekiuka misingi ya kisheria

Wewe nawe ni mganga wa kienyeji nini?,mbona unawatetea sana? kwani mtoa uzi si amesha sema kuwa wahusika walivunja sheria? na amefafanua vizuri sasa wewe unahoji nini? au una wasiwasi gani?.
 
ewaaa, umekuja mulemule. hapo wewe unadhani mpumbavu ni nani? wewe unaweza kuamini maneno kama hayo?
serikali yenyewe haitambui uchawi, labda kama kuna marekebisho ya sheria yalinipita.
kwa hiyo waliokamatwa "wanawanga" mahakamani wanashitakiwa kwa kosa lipi?
wewe kama hauna imani na haushiriki mambo hayo mwache arukeruke wee hakufanyi lolote ancheza utamaduni tu.

Hawa ndiyo wanasabisha ndugu zetu Albino kuuliwa na kukatwa viungo, si wa kuwachekea hata kidogo.
 
Back
Top Bottom