Hatari: Mganga akutwa akiroga Mahakamani

Hatari: Mganga akutwa akiroga Mahakamani

Wewe nawe ni mganga wa kienyeji nini?,mbona unawatetea sana? kwani mtoa uzi si amesha sema kuwa wahusika walivunja sheria? na amefafanua vizuri sasa wewe unahoji nini? au una wasiwasi gani?.

Hebu nitajie sheria aliyoitaja mtoa mada usikurupuke tuu. Inaonekana citation au sheria zenyewe zinavyoainishwa huelewi!!! Unakurupukatu tu
 
THE WITCHCRAFT ACT, CAP 18, LAWS OF TANZANIA

"witchcraft" includes sorcery, enchantment, bewitching, the use of
instrument of witchcraft, the purported exercise of any occult power
and the purported possession of any occult knowledge.

3. Any person who–
(a) by his statements or actions represents himself to have the
power of witchcraft;
(b) makes, uses, has in his possession or represents himself to
possess any instruments of witchcraft;
(c) supplies to any other person any instrument of witchcraft;
(d) advises any other person upon the use of witchcraft or any
instrument of witchcraft; or
(e) threatens to use or resorts to the use of witchcraft or any
instrument of witchcraft upon or against any person or
property,
commits an offence under this Act.

5.-(1) Any person who commits an offence under this Act with
intent to cause death, disease, injury, or misfortune to any community, class
of persons, person, or animal, or to cause injury to any property shall be
liable to imprisonment not less than seven years.
(2) Any person who commits an offence under this Act without any
intent such as is described in subsection (1) of this section shall be liable to
a fine of not less than one hundred thousand shillings or imprisonment of
not less than five years.

Safi kabisa,ufafanuzi wa sheria dhidi ya upigaji ramli uwasaidie wale wenye mashaka.
 
Hebu nitajie sheria aliyoitaja mtoa mada usikurupuke tuu. Inaonekana citation au sheria zenyewe zinavyoainishwa huelewi!!! Unakurupukatu tu

Kwa kukusaidia zaidi kwa mf. Mtu anapokua ametenda kosa la jinai kama uwizi mtu anapotaja sheria kwa kosa hilo atakua specific kwa kusema: kosa na kifungu cha sheria: -
Wizi k/f Na.258 & 265 Sura ya 16 K/A
K/f kinyume na kifungu cha sheria na K/A kanuni ya adhabu ambayo ni Penal Code. Sasa we kuzi huyo mtoa mada kataja sheria ipi au kifungu kipi hiyo ramli chonganishi inapoangukia au amegeneralize mambo na wewe unashabikia tu!!!?
 
Hebu nitajie sheria aliyoitaja mtoa mada usikurupuke tuu. Inaonekana citation au sheria zenyewe zinavyoainishwa huelewi!!! Unakurupukatu tu

Jina lenyewe Ngirimaji,halafu unaniponda kwamba nimekurupuka!!!,heri yangu niliyekurupuka ktk kuzishika na kuzitii sheria zilizotungwa na mamlaka halali kuliko wewe unayekurupuka kuzipinga sheria zilizowekwa na mamlaka halali.
 
Usibishe ili mradi uonekane na usishobokee kitu usichokijua mkuu au usichangie kwa jambo usilolifahamu mimi ninachohitaji kutoka kwako wewe mtii sheria iliyowekwa na mamlaka halali ni sheria au kifungu katika sheria kinachozungumzia ramli chonganishi. Usiseme tuu ni kosa na kosa lenyewe hujui hata sheria yake wala kifungu chake!!! Halafu unachangia kama vile unafahaaaaamuuuuu. Hilo jina ndio uhalisia wa jamii forum kwa hiyo liache hivyo hivyo
 
waoooooooooo!!! mtaalamu wa sheria na mpiga ramli,sasa km kweli unaijua sheria inunue kesi hiyo halafu kawatetee hao jamaa,ili mimi nikukubali kuwa wewe unaijua sheria,badala ya kubwabwaja na kusema mimi cjui sheria.
 
Naona unatatizo mkuu ningekua nina utaalamu nisingetaka unifahamishe kifungu na sheria husika. Mambo haya tunakutana nayo kwenye harakati za maisha ya kila siku ukumbuke kuna kushtaki na kushtakiwa pia within a process ukajikuta unafahamu vitu vingi tu. Unachokoseea ni kushabikia kitu usichokifahamu na hapo ndipo tunapotofautiana. Kama unachosimamia nisahihi nifahamishe na mimi kwamba watu hawa wanapaswa kuadhibiwa kwa kifungu fulani cha sheria flani sio kulipuka tuu. Waadhibiwe wakati hujui sheria inayowataka waadhibiwe bora usicomment pita hiviii kama hujui kitu
 
Back
Top Bottom