josephat bura
New Member
- Apr 23, 2014
- 4
- 0
siku moja kuna jamaa kaenda kwa jirani yake sasa alikuwa na kiu sana kufika kwajirani yake akamkuta mtoto akamwomba maji ya kunywa akaambiwa hayapo ila kuna maziwa basi jamaa akasema nipe hayo maziwa akaletewa akanywa akamaliza kikombe cha kwanza, akasema aongezewe akaongezewa, wakati Anamalizia mtoto akasema "ah maziwa yenyewe hatunywi "akabiwa kwa nini akaambiwa panya alifia humo siku nyingi tukamtupa "jamaa akaangusha kikombe nakuzimia kwamuda akapatafahamu babake mtoto akamuliza mwanawe kuna nini? mtoto akajibu "huyu hapa amevunja kile kikombe anachotemeaga mate bibi "jamaa kusikia hivyo akazirai tena, baba akamwambia mwanaye twende zetu! wakamwacha ......