babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,279
- 16,267
Mabouncer njaa kali wa elfu 10,10 hivi,tekno,whizzy na Davido,P square wana hela chafu hawana mlinzi hata mmoja popote pale
Hiyo ni show (maujiko) mkuu.View attachment 1211215
Au ni show off za baba wachungaji zinaigwa?
Anatita tu dhahabu maniLabda ana mwili wa dhahabu
Hivi haya mavazi ( pamoja na vifaa) waliyovaa yanaruhusiwa na mamlaka za ulinzi?Anampiku brother wakeView attachment 1211234
Hahahaha. Kwahiyo hao majamaa kama puto tuHamna body guard hapo, ukipiga baruti tu zi wahindi wanapiga kwenye diwali hutaaamini kama hao jamaa si Waethiopia na wala si Wakenye
Anampiku brother wakeView attachment 1211234
Atakuwa kwenye vita ya kiuchumi kama yule mwingine.View attachment 1211215
Au ni show off za baba wachungaji zinaigwa?
Bodyguard ana kidukuHao bodyguards ni mapambo ya kisanii
Kwani ubaunsa sio kazi ?Tulichogundua mabaunsa wengi mjini hawana kazi
jamaa ana pesa kwaiyo muache alindweView attachment 1211215
Au ni show off za baba wachungaji zinaigwa?
mimi bei yangu ndogo tu unanipa mdogo wako mimi nakulindaNtawakodi on my wedding day
Mana sijui muda wala saa X wa mume wangu atakapotokea kutindinganya mambo
mimi bei yangu ndogo tu unanipa mdogo wako mimi nakulinda
#umetixha mkuuAcheni alindwe hao walinzi wana familia aseee unoko unoko sio mzuri,wakipunguzwa then harmo akawa anatembea peke ake hao majamaa wakaja mtaani kutukaba mtaanza mlalamikia nani?
Hivi hizo mbavu zikikosa kazi then zikawa zinakuvizia wewe umetoka kazini wakutie kabali hv utaacha toa kila kitu kweli? hadi ambavyo hujaambiwa unaweza ukatoa.
N sawa na wale wanaochongea wenzao wenye vyeti feki..hivi unamchongea mtu anacheti feki akifukuzwa kazi wewe unafaidika nini? basi bora afukuzwe kazi then nafasi yake apewe baba ako au ndugu yako ila nafasi anapewa mwingineeeee kbsaaaaa hata humjui halafu unachekelea.
Mnapata faida gani kuwa na vihere here na maisha na kula za watu wengine aseee,ifike tu mahali muwe mnaongelea ,mambo ya familia zenu na kuacha maisha ya watu maana huo ndio Uchawi,sema mmekosa vifaaa tu vya kupaaa angani.
Yaani mtu katafuta pesa kwa jasho lake alafu wakati anatumia unamuita mshamba,.Aaah mkuu mwache kijana atumie.tabu wamepata fedha bila matarajio hivyo wanakuwa washamba katika kuzipangia matumizi.
wanajikuta kila kitu wananununa
mpaka natoa jibu hilo nimetazama mbali sana mkuu nimeshindwa tu kumwambia mjinga ambalo kiukweli ndivyo anavyostahili kuambiwa na mjinga sio tusi ila ni mtu ambaye hajaelimishwa vizuri.Yaani mtu katafuta pesa kwa jasho lake alafu wakati anatumia unamuita mshamba,.Aaah mkuu mwache kijana atumie.
Tulichogundua mabaunsa wengi mjini hawana kazi