Hataki unyumba na mimi kisa nina govi

Hataki unyumba na mimi kisa nina govi

Pilitoni

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
1,201
Reaction score
515
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, naishi Dodoma.
Mwaka mmoja sasa nimekuwa na uhusiano wa kimapenzi na Msichana hapa Dodoma hakuwa na tatizo na kutotahiriwa. kwangu lakini ni wiki moja sasa amegoma kabisa kunipa,amedai nikatahiriwe kwanza ndio nije kula mzigo.

Mimi siwezi sababu mila za kwetu zinakataza. Kichwa kinauma na hapa nimechanganyikiwa najiuliza huyu akinikimbia nitapata wapi mwingine anayeweza kukubaliana na hali yangu,naomba.

Msaada wa mawazo jamani.
 
Tafuta demu anaeendana na mila zenu za kutokutahiliwa.
 
Nakumbuka enzi zile za dondosha mkono sweta kuna mama mmoja aliulizwa kuhusu radha ya dushelele ya mumewe baada ya kutahiriwa. Yule mama alidai ladha imepungua sana baada ya kudondosha mkono sweta. Hatare..... angalia iwe ni win win situation..... not win-lose situation.
 
Pilitoni

duu toa uchafu wewe wewe labda linanuka sana..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nadhani mambo madogo kama haya yanahitaji mazungumzo baina ya wewe na huyo mpenzi kwa kuwa wewe ndiye mwenye sweta na yeye ndiye unayemgegeda na yeye ndiye anayeipata karaha ya hilo kono la sweta...

isitoshe ameshasema wazi halitaki sweta anataka uliondoe sweta ubaki na kaoshi sasa hapo tukupe mawazo gani...zaidi ya wewe mwenyewe kufanya maamuzi kuliondoa sweta na kuendelea kufaidi huduma ya mpenzi wako au kudumisha mila na kusitishiwa huduma na mpenzi wako....

Kwani huko kwenu kuna kipindi maalumu huwa mnakwenda kukaguliwa kuwa mmeondoa sweta au bado lipo ???
Yaani namaanisha kuwa mpo chini ya uangalizi maalumu wa wazee wa ukoo...??
 
Mkuu natamani ningekua wewe, mimi langu liliungua na uji nilipokua mdogo. Nalimiss sana "the late govi langu"
 
Back
Top Bottom