Nsame
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 478
- 125
atoinamba mpaka muoane
kama unampenda kweli na kakuhakikishia bikra tangaza ndoa, fanya kweli ila kuwa makini asikuongopee. Izo vitu adimu sana nasikia hata under 10wengine hawana,
atoinamba mpaka muoane
Usikute unanyimwa wewe afu kuna jitu linamega........
ukimuoa afu ikawa haipo je? muombe basi hata akuoneshe tu!!!
,mkuu umenifanya nikumbuke hichi kisa,...MEN baby i love u...GAL...love u to baby...ila tupendane tu,kuhusu sex STAKI ntakutunzia mpaka tuowane,MEN hilo si tatizo baby,na mimi mambo ya kuniomba hela sitaki ntakutunzia mpaka tuowane...HAPO VIPIHabari zenu wakuu.
Nina rafiki yangu wa kike ambae ninampenda sana. Tupo kwenye mahusiano kwa miezi minne sasa. Mahusiano yetu ni mazuri, ila kila nikimuomba tushirikiane faragha (yaani kufanya mapenzi) anakataa na kusisitiza mpaka tuoane.
Nampenda ila pia nahitaji anipe penzi lake faragha. Naomba mnishauri, nifanye nini?
,mkuu umenifanya nikumbuke hichi kisa,...MEN baby i love u...GAL...love u to baby...ila tupendane tu,kuhusu sex STAKI ntakutunzia mpaka tuowane,MEN hilo si tatizo baby,na mimi mambo ya kuniomba hela sitaki ntakutunzia mpaka tuowane...HAPO VIPI
Ndivyo inavyotakiwa.. kama unampenda utavumilia na ukishamuoa hakika ni halali yako!! Haya mambo ya uzinifu yamekatazwa...
Dah!kaka unabahati uyo ndo mke mwema anae jua ni2 maana ya mapenzi..!!!
na ukimkuta cyo bikra after ndoa?Habari zenu wakuu.
Nina rafiki yangu wa kike ambae ninampenda sana. Tupo kwenye mahusiano kwa miezi minne sasa. Mahusiano yetu ni mazuri, ila kila nikimuomba tushirikiane faragha (yaani kufanya mapenzi) anakataa na kusisitiza mpaka tuoane.
Nampenda ila pia nahitaji anipe penzi lake faragha. Naomba mnishauri, nifanye nini?
acha uongo wewe...ungempenda ungesikiliza na kuelewa matakwa yake kwamba uende kwa wazazi wake ukamilishe mambo, muwe mke na mume ili mmegane kihalali mbele za Mungu na wanadamu wote! wewe unamtamani tu!Habari zenu wakuu.
Nina rafiki yangu wa kike ambae ninampenda sana. Tupo kwenye mahusiano kwa miezi minne sasa. Mahusiano yetu ni mazuri, ila kila nikimuomba tushirikiane faragha (yaani kufanya mapenzi) anakataa na kusisitiza mpaka tuoane.
Nampenda ila pia nahitaji anipe penzi lake faragha. Naomba mnishauri, nifanye nini?
huko ni kupotosha mapenzi ya mwenzio kwa mpenzi wake kama wewe umezoea kugegeda na kuacha ni wewe mpe mwenzio ushaur mzuri na wala penzi sio pesa huo ndo ukweli halisi hata kumuoa atimue vitam ale yeye vichungu amuachie naniKama hataki mfanye mpaka muoane,basi na wewe akikuomba pesa usimpe mwambia mpaka muoane.
acha uongo wewe...ungempenda ungesikiliza na kuelewa matakwa yake kwamba uende kwa wazazi wake ukamilishe mambo, muwe mke na mume ili mmegane kihalali mbele za Mungu na wanadamu wote! wewe unamtamani tu!
halafu unatafuta ushauri JF eti tukushauri ufanye nini ili ufanikiwe kummega. kama wewe mwanaume wa ukweli nakupa ushauri huu ili ummege. panga appointment na girlfriend wako. mwende maeneo yenye watu wengi kama Kariakoo then shusha suruali yako...toa 'mrija' wako then mkamate huyo binti kwa lengo la kufanya nae mapenzi hadharani mbele za watu! nakupa ushauri huu makini maana naona unatuletea mitego ya shetani kutushirikisha dhambi yako ili nasi tunajisike!
Kwa jinsi mabinti wa siku hizi walivyo, angekuwa sio bikira angedengua siku ya kwanza na ya pili. Baada ya hapo usipochangamkia angekubaka. Huyo wa kuoa, walau ameweza kukuresist.
mke huyo...sasa hao ndio wake wakuoa mwanawane...unakuta kitu sealed bado sio watu walishakojolea mpaka basi
Habari zenu wakuu.