Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,499
Yani hiyo ndio wife material ya ukweli sasa kama ulikuwa hujui, yani huyo ukimuacha tu jua humpati tena wa ukweli kama huyo
aanze kutuma mashushuu wamchunguze tabia je ni mchoyo (jamaa anaweza onclude mchoyo kwa vile kanyimwa), je hana mababa poa? je mvivu n.k