Hataki tufanye mapenzi mpaka tuoane

Hataki tufanye mapenzi mpaka tuoane

unanikumbusha chuo nilidate demu miaka miwili kanibania sex, nikampiga chini. na tukawa hatuongei miaka kama miwili hivi. ila sasa tunaongea.
 
Kama kweli unampenda jaribu kumpa muda na mwishowe utapata unachotaka, haijalishi ni lini utapata utakacho, yawezekana siku ya honeymoon.
 
we bwana mbona hueleweki? We unaomba ushauri hivi unafikiria kila mtu atakupa ushauri unaotaka? Au una ushauri wako tayari halafu unajidai kuja forum hapa ni sehemu huru kila mtu kutoa naoni yake bwana kama ushauri aliokupa haukufai meza mate usubilie ushauri mwingine, tulia sindano ndo inaingia hivyo aliyekwambia sifa za mke wa kuoa zinapatikana forum nani, nenda makanisani na misikitini utapata washauri. Sio forum.

sijakataza mtu asichangie mkubwa sema alichoniuzi minauliza kitu serious yeye analeta jokes,ujue forum zinapitiwa na watu wengi wanaotaka kujifunza mambo mbalimbali sasa comment kama za jamaa hazileti picha nzuri.
 
achana nae huyo anakupotezea muda,mbona hajiamini?kunajambo analificha aje kukuingiza mkenge mkisha owana.we unategemea mwanaume rijali anakula anashiba sumu zake akazitemee wapi?kama huyo bint anajiamini kweli mbona akupi utest?huyo ametumika sana ndo mana anajua ukionja tu utamwacha.ushauri wangu tafuta mwingine.
 
Acha uhuni wewe! Yaani miezi minne unataka nanihii? We mtu wa wapi?
 
ni amri ya saba,kasome vizuri biblia yako
 
Ndugu yangu!! Hapo kuna mawili.
Wanaume wameshamdo sana na wanasepa kutokana na wanachokikuta hivyo akikupa na wewe utasepa.
Ana kasoro fulani ambayo anajua ukiigundua mapema hautamuoa.
 
pamoja bro!!!

ana umri gani? je ni bikira? kama sio angalia sna kijana wangu utaishia kujuta; watu wanamega we waambiwa subiria ;
ikiwa kama ni bikira na umeridhika nae congrats; vinginevyo anaweza kuwa kashusha injini ballaa utakuja juta
 
Siku hizi jambo la haki linaonekana ni tatizo and vice versa.
 
sana tu kuna sabuni za mchina wanazitumia jamaa angu anaziuza

kha!!! kumbe ndio maana wamecommercialize papuchi zao...inabidi wanunue sabuni that makes sense now. asante kaka kwa info
 
Habari zenu wakuu.

Nina rafiki yangu wa kike ambae ninampenda sana. Tupo kwenye mahusiano kwa miezi minne sasa. Mahusiano yetu ni mazuri, ila kila nikimuomba tushirikiane faragha (yaani kufanya mapenzi) anakataa na kusisitiza mpaka tuoane.

Nampenda ila pia nahitaji anipe penzi lake faragha. Naomba mnishauri, nifanye nini?

Kama una roho ya Tomaso kama mimi, bembeleeza uhakikishe umepata! Ni worst case scenario-lakini itakuwaje mkioana ukakuta hana njia aka kitendewa kazi?

Kujua maoema utakachokabiriana nacho HADI KIFO KIWATENGANISHE ni jambo jema tuu.
 
Ndugu yangu!! Hapo kuna mawili.
Wanaume wameshamdo sana na wanasepa kutokana na wanachokikuta hivyo akikupa na wewe utasepa.
Ana kasoro fulani ambayo anajua ukiigundua mapema hautamuoa.

duh, mkuu unaongea ukweli ila jamaa hautaki asha penda.
 
Back
Top Bottom