Hataki tufanye mapenzi mpaka tuoane

Hataki tufanye mapenzi mpaka tuoane

mke huyo...sasa hao ndio wake wakuoa mwanawane...unakuta kitu sealed bado sio watu walishakojolea mpaka basi

Tatizo hajafafanua ukute hakuna cha cld wala nin but keshachoka ku2mika mtt wa wa2.
 
Mapenzi yanahitaji makubaliano ya mwanamke na mwanamme bila shuruti au ulaghai. Kama hataki huna sababu ya kumlazimisha, na kama unampenda mpe muda wa kukuamini. Miezi 4 ni kipindi kifupi sana kwa mwanamke unayesema atakuwa mke, wenzio tulivumilia miaka 6 baada ya kuona wife material na sasa tunavuna mbivu za uvumilivu....Kama UNAMPENDA, UTAMLINDA hadi awe tayari. All the best

thanks bro!!
 
Tatizo hajafafanua ukute hakuna cha cld wala nin but keshachoka ku2mika mtt wa wa2.

hahahah yawezekana pia....maana wanawake wasanii balaa. sasa ni vizuri kma kachoka kutumika amejitambua sio wengine wanaendelea kugegedwa tuu.....ila bwana uzuri wa k ni kwamba ata ukigegedwa vipi utamu haondoki nao huyo anayekugegeda...mwengine akija bado atapata utamu tuu
 
Huyo ndio mke wa kuoa, usiwe na pupa, fanya mchakato wa kumuoa ujilie vyako taraatibu.

Inawezekana hampendi ndo mana anamuwekea mitihani migumu amuulize bado yuko bikra? Inawezekana anambania huku wengine wanakula kama kawaida
 
angalia isije kua unauziwa mbuzi kwenye gunia mkuu....shake well before use ndio sheria ya maabara....
 
kwahiyo unataka ushauri wa nn na wakati keshakwambia hayo mambo ni hadi umuoe.
cha kufanya kwa kuwa wasema wampenda basi fanya juu chini umuoe ili upate unachokitaka.
 
anasisitiza daily kuwa yeye bikra

Hapo ndipo ulipokosea kuanza kusikiliza hizo story za bikira...

Mara nyingi ni uongo tu, kuna kidemu nnacho saizi na kikaanza na swaga za bikira, nilichofanya ni kuipotezea hiyo story...last time kaja mambo yakawa mambo, hakuna cha bikira wala bibi yake bikira!!!
 
Hongera sana dada. Weka msimamo hadi mwisho ila hakikisha kweli wewe ni virgin (bikra) usije ukazua balaa siku ya ndoa!! Kama ulishawahi kufungua hiyo pochi ni bora umwambie jamaa kabisa ili ajue. Ila huyu ndiyo mke wa kuoa asilani.
 
braza sijakuomba unisaidie kumshawishi bali ninaomba ndugu zangu wanishauri kwaiyo kama onaona ni dhambi waweza kuniambia nisubiri mpaka ndoa lakin sio utumbo unaoandika

we bwana mbona hueleweki? We unaomba ushauri hivi unafikiria kila mtu atakupa ushauri unaotaka? Au una ushauri wako tayari halafu unajidai kuja forum hapa ni sehemu huru kila mtu kutoa naoni yake bwana kama ushauri aliokupa haukufai meza mate usubilie ushauri mwingine, tulia sindano ndo inaingia hivyo aliyekwambia sifa za mke wa kuoa zinapatikana forum nani, nenda makanisani na misikitini utapata washauri. Sio forum.
 
Habari zenu wakuu.

Nina rafiki yangu wa kike ambae ninampenda sana. Tupo kwenye mahusiano kwa miezi minne sasa. Mahusiano yetu ni mazuri, ila kila nikimuomba tushirikiane faragha (yaani kufanya mapenzi) anakataa na kusisitiza mpaka tuoane.

Nampenda ila pia nahitaji anipe penzi lake faragha. Naomba mnishauri, nifanye nini?

The truth ni kwamba eti No sex hadi marriage nowerdays ni hard sana,sawa anakwambia msubiri but itafika muda nae atakuwa anxious kujua: je are u good in bed?,mkioana je utasatisfy her needs in bed n.k, then wen that moment comes mbona mzigo atakupa mwenyewe 2,so just kuwa mvumilivu mkuu.

Speaking from experience nilikuwa na demu wangu some few yrs back, aligoma kunipa mambo for a year for the same reasons eti hadi marriage basi nami nika-chill, mbona mwenyewe alikuja to her senses na kutoa k bila hata mimi kuombaomba na nikampa dushelele mpaka akapagawa, 2 bad alikuja kwenda UK with her parents ndo ikawa ponea yake!
 
Back
Top Bottom