Hayo hayamo, uchakuja ana kinanihili kirefu kama mkia wa paka. Ziuziwi mbuzi kwenye gunia kamwe.
mke huyo...sasa hao ndio wake wakuoa mwanawane...unakuta kitu sealed bado sio watu walishakojolea mpaka basi
goog girl.
Huyo dada ana akili sana! If you trully love her utavumilia lakini kama sio bikra ujue unaibiwa!
anasisitiza daily kuwa yeye bikra
husipo hikuta?
Kama hataki mfanye mpaka muoane,basi na wewe akikuomba pesa usimpe mwambia mpaka muoane.
Habari zenu wakuu.
Nina rafiki yangu wa kike ambae ninampenda sana. Tupo kwenye mahusiano kwa miezi minne sasa. Mahusiano yetu ni mazuri, ila kila nikimuomba tushirikiane faragha (yaani kufanya mapenzi) anakataa na kusisitiza mpaka tuoane.
Nampenda ila pia nahitaji anipe penzi lake faragha. Naomba mnishauri, nifanye nini?
nitumie namba zake niongee nae halafu nitakushauri vizuuuuuuuuuuri, sawa eh?