Hataki nimpe lifti mdogo wake

Mke ameshagundua kuna dalili za kuchepukaa... Mtafutie nyumba akapange tuu. Maisha yaendelee
 
Uwe unachelewa kwenda kazini ili yeye awahi au wewe amka saa kumi alfajiri kwenda kazini. Au mtaftie nyumba akapange ndio nandhan suluhisho
 
Ulicho nacho kichwani wife wako ameishakiona zamani na huenda anamjua rafiki yake huwa anatembea chupi ikiwa magotini.
Umetoa sifa nyingi za huyo dada bila kumsifia mkeo bado unataka upewe uhuru.

Sisi wanaume tunajuana bana ipo siku hiyo gari itakuwa chumba cha faragha na utamvua nguo humohumo kwa kumtengenezea mazingira maana najua utaogopa kumwambia. Kubali kuwa wife kashtukia
 
Umefika wakat wa gari kuharibika

Mwambie gari imepata tatizo hivyo.
Ww anza kutumia daladala au tax au bajaj.
Kwa kutumia hela za mkeo za saluni, hela za nguo.
 
Mdau endelea kumbeba,huyo ni Mgeni wenu
 
BADILI TABIA WW KWELI NI KIBOKO AU KITEMBO KABISAAA😀😀😀😀:thumbup::thumbup:😉
 
Ukumbuke wanafanya kaz ofis za karibu huko mjini,so kuonana kupo ti mdau
Hayo ya kuonana mjini labda kama wana ajenda zingine za siri lakini kwa sasa ili kuondoa minuno ya Mama yeyoo hilo ni bora.
 
Suluhisho ni dogo tu....
Asubuhi wakati mnaenda kazini unampakia mkeo na huyo binti hadi utakapomshusha huyo dada alafu unampa wife wako sh 400 anapanda zake daladala hadi nyumbani...
Jioni ikifika mida ya kutoka kazini anakuja Tena na daladala kukufuata... akipanda unampitia huyo binti mnarudi home... HAPO AKIONGEA TENA HUYO MKEO ATAKUWA MCHAWI..
 
Atavunja ndoa yako au atakuharibia mke, yaani mke wako akigundua unakula na yeye anaanza kuliwa na wauza nyama /vijana wa kitaa!
Chagua moja faster
 
mkuu acha wife akupige pin tu kwa kuwa leo umeleta thread umemuona shemeji anakojoa kwa bahati mbaya umemtamani nadhani mkeo anakujua kuliko unavyojieleza.
 
Kwa hiyo hapo kwako una mizigo vigoli wawili,mmoja ni huyu rafiki wa Mke wako na mwingine ni yule mdogo wa Mke wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…