BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 956
Ndo maana tunasema kufundwa kwa bibi harusi kusidharauliwe, unadhani mdharamu aliyefundwa atamwambia mumewe kachoka? pia na wewe buni mambo mpya labda kachoka kila siku yeyey anakuridhisha ww tu
Halafu yeye mwenyewe mtoa ushauri inapokuja kwenye actions hata hawezi fanya hayo anashauri....
si atanunua mwenyewe LUKU, Ushaisha utamu wewe.. jipange upya.mweeeeeeeehh usilipie luku hadi umeme ukatike tuone atatoa kisingizio gani
chukua nyundo wakati yeye anangalia stv1 kipige hicho kingamuzi kama mapigo matatu au manne, kikizimika usinunue kingine uone atasingizia nn hapo utapewa K tu
haya wewe mtamu endelea!!!!!!!!!!!!si atanunua mwenyewe LUKU, Ushaisha utamu wewe.. jipange upya.
mweeeeeeeehh usilipie luku hadi umeme ukatike tuone atatoa kisingizio gani
teh anaweza kukununia mwezi mzima mtu mwenyewe anaonekana ana kaubabe flan!!!!!!!!!kwa kuongezea usilipie na kingamuzi au uwe unachomoa waya wa antenna uangalie atasemaje
Hataki nimguse, eti anaangalia mpira sijui UEFA sijui Premium!