HATAKI nimguse, eti anaangalia Tamthilia.

huyo amekwisha pata ki serenget boy, bila shaka alikuona wewe spidi yako ni ya bata kitandani, akaamua achukue mwenye spidi ya mwewe
Ushauri wa humu JF usipouchuja unaweza kujikuta unaacha mke. Si kila mara mke anapokuwa hajisikii kufanya ngono manake ana mtu mwingine. Kuna wakati hisia huwa zinakuwa hazipo. Hasa kama ana kitu ambacho ana interest nacho au kimemboa. Acheni kumpotosha mwenzenu.
 
Ushauri wa humu JF usipouchuja unaweza kujikuta unaacha mke. Si kila mara mke anapokuwa hajisikii kufanya ngono manake ana mtu mwingine. Kuna wakati hisia huwa zinakuwa hazipo. Hasa kama ana kitu ambacho ana interest nacho au kimemboa. Acheni kumpotosha mwenzenu.

Halafu yeye mwenyewe mtoa ushauri inapokuja kwenye actions hata hawezi fanya hayo anashauri....
 
pole,anza kujifunza mbinu mpya,angalia porn jinsi ya kwenda rough lol na kuongea dirty language,simply amekuchoka na kutokosa ubunifu wako,lol inawezekana unaenda moja kwa moja kny sex hivyo kumfanya ajifeel ni sex machine sie wanawake ni watu wa hisia jifanye unamhurumia kwa kazi anazofanya nyumbani kwa kumsaidia hata kusafisha kijiko,ukitoka muage kwa mabusu moto moto,kama unaendesha siku moja sio mbaya kumpitia kazini...ilimradi afeel unamjali na sio uko after sex only,ukicheza na hisia zetu vizuri mbona uroda tunatoa hado tigo....:eek2::eek2::A S-baby::israel:

jestina,hahahahah!
 
pole,anza kujifunza mbinu mpya,angalia porn jinsi ya kwenda rough lol na kuongea dirty language,simply amekuchoka na kutokosa ubunifu wako,lol inawezekana unaenda moja kwa moja kny sex hivyo kumfanya ajifeel ni sex machine sie wanawake ni watu wa hisia jifanye unamhurumia kwa kazi anazofanya nyumbani kwa kumsaidia hata kusafisha kijiko,ukitoka muage kwa mabusu moto moto,kama unaendesha siku moja sio mbaya kumpitia kazini...ilimradi afeel unamjali na sio uko after sex only,ukicheza na hisia zetu vizuri mbona uroda tunatoa hadi tigo....:eek2::eek2::A S-baby::israel:

Weye Jestina weye!!! Tobaaa...taratibu banaaa :eek2:
 
Jamani, nina masikitiko m akubwa sana ndani ya moyo wangu.
Huu sasa ni zaidi ya mwezi wa nne, mama watoto amekuwa akinipa kwa masharti magumu sana kile chakula cha usiku.
Kisingizio chake kikubwa eti anaangalia tamthilia za STV1 za kwenye king'amuzi cha Star Times.
nimejaribu kumuelewesha, alicho nijibu nimekoma mwenyewe, eti mi ni mroho sana wa k.
Nifanyeje? Naombeni ushauri wenu , naamini nyie ni kisima cha busara.


mmeshakaa kwa mda gani katika uhusiano wenu? jaribu kumchunguza ama ongea nae kama kunakitu mlikorofishana aweke wazi maana sisi waschana tunatabia ya kuweka vitu rohoni na utateshwa nachompaka ujue nini tatizo umepigika vyakutosha, asisingizie startime tamthlia kuna jambo,,,,,,
 
Basi ukisikia watu wanasema Nyumba ndogo.. Nyumba ndogo.. Moja Kati ya vyanzo vyake ni mambo Kama hayo ..
Hapo pagumu sana rafiki, Mtu Kama huyo hata ukimwitia ushauri wa bunge zima sidhani Kama itasaidia manake ni tabia yake..
Na wewe ( kwanini ulimnanihii kabla ya kufunga ndoa ??!!!) matokeo yake ndio hayo

Na wewe ukiwa unaangalia mpira nami nitafute kidumu?
 
Mkuu inaonesha fitina huzijui kabisa yani...fanyia zengwe king'amuzi ukiharibu kabisa yani halafu umuambie, 'usijali lets make our own tamthiliya'.
Ukiendekeza tamthiliya nyumbani kwenu kila kitu kitakuwa tamthiliya...shauri yako!
 
usiwe unavizia muda tamthilia.... vizia muda tofauti, uone atatoa sababu gani... asikunyime haki yako ya kikatiba
 
nyie ndio wale wale koroga utoe labda unabore lazima atafute sababu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom