HATAKI nimguse, eti anaangalia Tamthilia.

Ndo maana tunasema kufundwa kwa bibi harusi kusidharauliwe, unadhani mdharamu aliyefundwa atamwambia mumewe kachoka? pia na wewe buni mambo mpya labda kachoka kila siku yeyey anakuridhisha ww tu
 
Pole sana lakini jaribu kutafuta tatizo jee unacheza kwenye kiwango cha kawaida? au ndio ile fungua niweke?
 
kweli nyie mnachekesha sana,kwa hiyo ikifika muda wa kuangalia tamthilia we ndio huwa unataka? au tamthilia inaoneshwa masaa 24 kwa wiki? pole sana ndugu yangu embu ongea naye vzr may be utajua sababu ni nini
 
chukua nyundo wakati yeye anangalia stv1 kipige hicho kingamuzi kama mapigo matatu au manne, kikizimika usinunue kingine uone atasingizia nn hapo utapewa K tu
 
chukua nyundo wakati yeye anangalia stv1 kipige hicho kingamuzi kama mapigo matatu au manne, kikizimika usinunue kingine uone atasingizia nn hapo utapewa K tu

we vunja 2 ila kesho ndio anaangalia kwa jirani cjui itakuwaje
 
Bro inabidi utafute mda akiwa mefurahi ndipo umwambie kwaupenda taratibu kuwa tabia hii mama sihipendi, mm na zani atakuelewa tu
 
lol mnyweshe amarula na red yne, inaonekana apetite iko chini ndio maana anakuona we mroho lol
mtafutie vya kumfanya na yy awe mroho wa p....., ili mwende sambamba,,,,
ama kweli ndoa ndoanaaaa....
ikishindikana ntafute nimkumbushe wajib wake lol..................................
 
Vema na wewe jumuika nae kuangalia pamoja mpaka mwisho halafu omba k,utapewa tu! ila jitahidi uwajue majina characters na uchangie hoja. Nikupe dokezo, huko ofisini ukiona dume linazijua hizo tamthilia ujue dume huwa linasubiri k kwa mtindo huu
 
Mkuu unashindwa kukiharibu hicho king'amuzi asiwe na chakuangalia!
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom