Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
nipe hicho king'amuzi kuondoa sababu
labda haunukii....,
Hapo ndipo kwenye ukweli wa msemo huu mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.
huyo amekwisha pata ki serenget boy, bila shaka alikuona wewe spidi yako ni ya bata kitandani, akaamua achukue mwenye spidi ya mwewe
na kweli akitoka kazini akishakula aoge na kupiga mswaki ajipulizie na pafyumu hahahahahah:redface::redface:
na wee angalia naye tamthilia.
Hapo kwenye alama nyekundu si kwa wanawake tu hata kwa wanaume na ndipo panaleta shida kwa familia ya mwenzetu.na mwanaume asiyejua kucheza na hisia zetu wanawake,ndoa lazima aisikie kwa majirani.