Hataki nimchukue mwanangu, sijui anataka nini kwangu?

Hataki nimchukue mwanangu, sijui anataka nini kwangu?

wasiwasi wangu kumlundikia mama yako watoto 3! hata kama kuna housegirl ina maana ni wa 4 loooh! kumzeesha mma yako umuongezee kero ya watu wa nne huoni aibu?

hata kama unatoa hela ! kutoa hela inayowatosheleza watu wanne asubuhi hadi jioni na mahitaji mengine ni myingi sana maana ni sawa na gharama za mtu mwenye mke watoto 2& house girl ni hela nyingi mama unampa shingapi?
omba yasikukute
 
Bibi halei mtoto ila anafuga mtoto. Uangalizi wa bibi na uangalizi wa mzazi ni vitu viwili tofauti, bib atahakikisha mtoto anakula na kuwa na afya njema ila kitabia hatamfatilia. Ila mzazi atakuwa karibu zaidi na mtoto hata pale mtoto abadilikapo tabia mzazi ni rahisi kugundua na kumnyoosha mapema. Ndo maana watoto wengi waishio na bibi wana tabia za ajabu kuliko wale walioishi na wazazi. Hitimisho muache huyo #Maureen akae na mama yake , kwa bibi aende kutembea tu.
Mama moureen ana tabia za kimalaya sana ,nahisi mtoto atalithi matabia hayo
 
Ninadhani ungependa watoto wote wakue pamoja, mama Moureen ana msimamo tofauti, je anakuruhusu kumchukua Moureen aspend weekend na bibi yake?
huwa ananiruhusu ,wkend zote huwa anaenda kwa bibi yake kuspend.isipokuwa mimi nataka akae tu kwetu na wenzake maana natumia gharama nyingi kiasi kwamba wakati mwingine nakosa hela ya kujigawa
 
Mama moureen ana tabia za kimalaya sana ,nahisi mtoto atalithi matabia hayo
[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] maskini wee, kama hivyo mchukue tu. Heri nusu shari kuliko shari kamili. Nenda ustawi wa jamii watakusaidia
 
huwa ananiruhusu ,wkend zote huwa anaenda kwa bibi yake kuspend.isipokuwa mimi nataka akae tu kwetu na wenzake maana natumia gharama nyingi kiasi kwamba wakati mwingine nakosa hela ya kujigawa
Huo muda wanaokutana weekend unatosha kuwafanya wafahamiane, heshimu pia uamuzi wa mzazi mwenzako na mtoto anakua, itafika wakati akiwa anasoma anaweza kuspend likizo na bibi yake pamoja na wenzake.
 
Hana maana hata kidogo.. Na ndio hawa kutwa kuwaponda single moms. Shame on his ugly face.
Ugly face[emoji2] [emoji2] [emoji2] that's whimsical...uzuri situmii jina la uongo humu,na hata avatar ni yangu,naomba angalia avatar yangu upate majibu kama mimi ni ugly face
 
Ugly face[emoji2] [emoji2] [emoji2] that's whimsical...uzuri situmii jina la uongo humu,na hata avatar ni yangu,naomba angalia avatar yangu upate majibu kama mimi ni ugly face
Uzuri na ubaya ni namna muonaji anavyotafsiri... Kwa hiyo hiyo ndiyo perception yangu kwenye hiyo face unayoita siyo ugly, halafu mwanaume unataka usifiwe sura? Mama Maureen ana kila sababu ya kukunyima mtoto.
 
The first half of our lives is ruined by our parents, and the second half by our children...

Don't do this to your kids
 
We umechukua wawili muachie mwenzio huyo mmoja nae afaidi uzazi wake mbona unakuwa mkaxc hivyo? Akikuwa vizuri atawafuata wadogo zake, onesha upendo tu kwake kwa kumjali yeye na mama yake hata kinafki tu usimuharibu kisaikolojia.
 
We unaonekana uja jeuri sana
 
The first half of our lives is ruined by our parents, and the second half by our children...

Don't do this to your kids
U are ver insane.how can a parents ruin their kid for a purpose?? Try to use ur fore brain wisely
 
We umechukua wawili muachie mwenzio huyo mmoja nae afaidi uzazi wake mbona unakuwa mkaxc hivyo? Akikuwa vizuri atawafuata wadogo zake, onesha upendo tu kwake kwa kumjali yeye na mama yake hata kinafki tu usimuharibu kisaikolojia.
Soma vizuri post yake, kila mtoto ana mama yake.
 
We unaonekana uja jeuri sana
Sina jeuri juvenile davis , threads zako ndio zinanitia ukakasi, kitendo cha kuzalisha wanawake watatu halafu utangaze hutaki kuoa hata mmoja, halafu umempa mimba mdogo wa mama Maureen, kisha unataka kuwapokonya watoto ili kupunguza gharama za malezi, kwani ulivyokwenda kavu kavu hukuyawaza haya? Kwani hao kina Mama Maureen wao hawana hamu ya kulea watoto wao? Jumla ya ninayowaza kuhusu wewe ndiyo yanafanya nikujibu hicho unachoita jeuri.
 
Wee bozo watoto watatu na wanawake watatu uliona sifa ama vipi?
 
Back
Top Bottom