Hataki nimchukue mwanangu, sijui anataka nini kwangu?

Hataki nimchukue mwanangu, sijui anataka nini kwangu?

Mama moureen ana tabia za kimalaya sana ,nahisi mtoto atalithi matabia hayo
CHEKI UNAVYOFKIRIA KWA KUTUMIA MASABURI, WE MWENYEWE MPK HAPO NI MALAYA. ..WATOTO 3 KILA MMOJA NA MAMA YAKE. ..UNATUZALILISHA WANAUME! !
KAMA UNAUWEZO NENDA KAOE AU JENGA NYUMBA YK KISHA KAA NAO
 
Hakunaga kitu kama 'mtoto wa kwangu'..

chukulia mfano wa nyumba au gari ambayo umechangia nusu na mtu mwingine..utaweza sema ni nyumba au gari yako?

sasa mtoto si kitu cha thamani kuliko gari au nyumba?

why useme wako? why mama mtoto asishiriki kupanga maendeleo ya mwanae?

Kwani malezi ni shule tu na kuweka housegirl?
hahaaaaaa mkuu hapo umenena kuna wanaume inabidi wapimwe akili
 
1. Kwa nini unamtesa mama yako na huyo housegirl kwa kuwarundikia watoto?
2. Kama unajua kuna suala la matumizi kwa nini unalala na kila sketi, jeans, kitop, miniskirt na blauzi unayoitamani?
3. Kwa nini hauoi unatesa watoto.
4. Kwa nini unageuza nyumba uliyozaliwa orphanage badala ya kumwacha mama apumzike baada ya kukulea na si kulea matunda ya uzinzi wako?
5. Kwa nini unafikiria kuwa hela zako ndo kila kitu katika matunzo ya mtoto?
6. Kwani Mtoto si wa mama Maureen? Kwa nini ujisikie una haki ya kukaa na mtoto wewe tu?
7. Kwa nini umekubali kuishi maisha machafu hivyo?

Wewe unawakilisha wanaume walio wengi dunia hii ambao wamesoma, wana kazi, wana hela, wanajidai kujua maadili LAKINI KICHWANI WAPO KAMA ICEBERG AMBAYO JAPO KUBWA INAELEA MAJINI. Badilika bro wangu. Use correct reasoning.
 
Umepayuka sana mkuu,ila mi nahisi we sio real gentlemen.mwanaume wa kweli haongei hivo kabisa.kuoa ni process na si jambo la kukurupuka
 
Umepayuka sana mkuu,ila mi nahisi we sio real gentlemen.mwanaume wa kweli haongei hivo kabisa.kuoa ni process na si jambo la kukurupuka

Kijana sasa napata uelewa wa mwanaume gani ulivyo. Una watoto wa3 kwa mama tofauti na unawaweka kwa mama yako halafu unajidai kujua sifa za a real gentleman huh? Mkuu you need a psychological help. You can impregnate 3 women and providing for the children but you can't stay with one woman that it is a process. Really! A process? And your calling yourself a gentlemen! Your a joke!
 
Kama mjuavyo kwamba ninao watoto watatu wa mama tofauti,SEAN,TRAVIS na MOUREEN,.sasa hao wa kiume wote wawili nilishawachukua na wapo pale kwa mama yangu mzazi na nimewatafutia house girl.wote wapo nursery shule moja maarufu hapa dsm na wana miaka minne wote ila wamepishana miezi tu.sasa nataka na Moureen nimchukue nimpeleke kwa mama pia ila mama Mama moureen hataki kunipa mwanangu kabisa.na huyu ndie mkubwa maana ana miaka 6.yupo darasa la kwanza.nataka nimchukue akae kwa mama yangu na wale wenzake maana naona naingia hasara sana kuhudumia huku na kule.ni bora niwe natuma pesa sehemu moja ieleweke moja.sasa mwenzangu kila nikiongelea kumchukua mtoto anakuja juu sana.nashindwa kuelewa lengo lake.tafadhari mama moureen najua upo humu na unasoma sana nyuzi zangu nakuomba unipe mwanangu ..
HUyo mtoto ni wa kwake... yeye sio shimo la kunya watoto tu
 
Mkuu watoto wa mama tofautitofauti huwa hawapendani ukubwani kama watoto wa mama 1, pia sio sifa kujitanabaisha hivi, kuna taratibu za kisheria kuzifuata ukabidhiwe mwanao kwa mujibu wa sheria. Huku ni kujivua nguo kiongozi tofauti na unavyofikiri kuwa ni maujiko. Mzazi mwenzio kaeni pamoja mtaelewana na ikishindikana chukua hatua zaidi za kisheria.
 
Watoto unawapeleka kwa bibi!!! halafu bado unajiita mwanaume!!!!!
 
Mkuu nini maana ya hili bango hapo umeniacha mkuu nipe tafsir
Mkuu,mtoto akifikisha umri wa miaka saba,baba yake ana haki ya kumchukua na kumlea,kisheria hii inatumika kama wazazi walitengana.
 
Mkuu,mtoto akifikisha umri wa miaka saba,baba yake ana haki ya kumchukua na kumlea,kisheria hii inatumika kama wazazi walitengana.
Sasa mkuu hiyo ni kisheria,lakin kuna utaratibu tu unaweza kufanyika baina ya wazazi na mtt akaenda kwa baba
 
Nakushauri utumie busara zaidi kuliko ubabe. Zungumza vizuri na kwa heshima na mzazi mwenzio mama Maureen. Huyo ni mtoto WENU...sio wa kwako (peke yako kama inavyotafsirika kwenye andishi lako). Jadilianeni. Nashauri priority iwe ni mafanikio na furaha ya mtoto zaidi ya kutanguliza egos na fantasies zenu. Kila la kheri mkuu
 
Kwanza kabisa sheria ya mtoto ya mwaka 2009 inaelekeza kama wazazi hawaishi pamoja mtoto anatakiwa aishi na mama yake mpaka atakapo timiza umri wa miaka 7, hii inasaidia katika malezi na ukuaji wa mtoto, mtoto alielelewa na bibi hawezi fanana na alielelewa na wazazi wote wawili au mmoja...effects zake hutokuja kuziona leo...
 
Back
Top Bottom