Hataki nimchukue mwanangu, sijui anataka nini kwangu?

Hataki nimchukue mwanangu, sijui anataka nini kwangu?

Unataka mtoto, kwanini usimtake na mama yake ili mumlee pamoja? Kwanini utake mtoto alelewe na house girl wakati mama yake yuko hai?
 
Sina jeuri juvenile davis , threads zako ndio zinanitia ukakasi, kitendo cha kuzalisha wanawake watatu halafu utangaze hutaki kuoa hata mmoja, halafu umempa mimba mdogo wa mama Maureen, kisha unataka kuwapokonya watoto ili kupunguza gharama za malezi, kwani ulivyokwenda kavu kavu hukuyawaza haya? Kwani hao kina Mama Maureen wao hawana hamu ya kulea watoto wao? Jumla ya ninayowaza kuhusu wewe ndiyo yanafanya nikujibu hicho unachoita jeuri.
Haya ni maisha tu ndugu yangu,leo kwangu kesho kwako..omba yasikufike wewe haya matatizo.mi nakwepa gharama maana natumia pesa nyingi kutuma huku na kule
 
Wewe jamaa ni fa***la na Hauna akili kichwani.
Ndio maana Unaitwa Juvenile.
Unatafuta umaarufu JF utabokolewa.
Huwa Una lugha chafu Sana. Umeshindwa kuingiza maisha yako.
Unreasonable stupid.
Asants sana kwa majibu yako.kwa kuwa wewe unanifahamu mimi
 
Mama siku zote ndio mlezi,labda awe na matatizo ambayo yeye mwenyewe ya kiakili au ulemavu.huwezi kumtoa mtoto kwa mama kwa kukimbia gharama! Tena una bahati kuna kitu kinaitwa 'child support'hii nataka sana ije bongo watu watie akili.
Acha kelele wewe,kwanza huna mtoto hadi leo so please shut up ur mouth. Siongei na watu wasiojua maana ya majukumu.
 
Acha kelele wewe,kwanza huna mtoto hadi leo so please shut up ur mouth. Siongei na watu wasiojua maana ya majukumu.
Unajuaje sina mtoto,mi nna familia ambayo nakaa nayo na siwezi kumtoa mwanangu kwa mama yake kumpeleka kwa bibi kisa gharama! Come on, be a man and face your responsibilities!.tatizo we unataka mtelemko! Sijui maana ya majukumu, you have no idea mate.
 
Mama moureen ana tabia za kimalaya sana ,nahisi mtoto atalithi matabia hayo
"baba moureen ana tabia za kimalaya na kichangudoa sana,nahisi mtoto wangu moureen atarithi kutoka kwake"..Mama moureen...usitoe mtoto maisha yako yote..lea mwanao!...hana maana![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Usipende kuingilia maisha ya watu,utaumbuka shauri yako
 
"baba moureen ana tabia za kimalaya na kichangudoa sana,nahisi mtoto wangu moureen atarithi kutoka kwake"..Mama moureen...usitoe mtoto maisha yako yote..lea mwanao!...hana maana![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Usipende kuingilia maisha ya watu utaumbuka shauri yako
 
Kama mjuavyo kwamba ninao watoto watatu wa mama tofauti,SEAN,TRAVIS na MOUREEN,.sasa hao wa kiume wote wawili nilishawachukua na wapo pale kwa mama yangu mzazi na nimewatafutia house girl.wote wapo nursery shule moja maarufu hapa dsm na wana miaka minne wote ila wamepishana miezi tu.sasa nataka na Moureen nimchukue nimpeleke kwa mama pia ila mama Mama moureen hataki kunipa mwanangu kabisa.na huyu ndie mkubwa maana ana miaka 6.yupo darasa la kwanza.nataka nimchukue akae kwa mama yangu na wale wenzake maana naona naingia hasara sana kuhudumia huku na kule.ni bora niwe natuma pesa sehemu moja ieleweke moja.sasa mwenzangu kila nikiongelea kumchukua mtoto anakuja juu sana.nashindwa kuelewa lengo lake.tafadhari mama moureen najua upo humu na unasoma sana nyuzi zangu nakuomba unipe mwanangu ..
Mkuu Davis,

Mkuu Davis,huyo ex wako bado anakupenda,na anamtumia binti yako Moureem kama bait to catch you,so ukitaka mambo yaende poa,wewe kumbushia game,at the same time tumia romance to persuade her to hand over your daughter.
 
Game hajawahi kuninyima,huwa ananipa kila ninapohitaji .anajua fika kwamba sitamuoa na humu yupo na nyuzi zangu anasoma
 
Game hajawahi kuninyima,huwa ananipa kila ninapohitaji .anajua fika kwamba sitamuoa na humu yupo na nyuzi zangu anasoma
Anyway bro,nafikiri shria ya TZ mtoto akifika miaka 7 baba ana haki kisheria ya kumchukua mtoto(CUSTODIA RIGHT),i think sio mbali utamchukua kisheria.
 
nadhani huu ni mjazio wa ile post yako juu ya mademu wengi kukataa kutumia CONDOM....inshort usione wanaume wenzio wanaishi au wanamiliki watoto wao kuna long process ambayo inapita kisha ndio upewe mtoto kuna mila lazima huyo motto umkomboe inamaana uwalipe wazazi wa huyo binti kwa kumuaribu binti yao kisha ndio upewe huyo mtoto...hawakurupuki tuu kudai mtoto mzee mwenzangu kisha ndo ujifunze matumizi sahihi ya CONDOM maana naona leo unapata tabu ya kuhangaika kumrudisha mtoto wako ungetumia condom yasingekukuta mzee mwenzangu
 
FACTS
1. sheria zinasema mtoto under 7 awe chini ya uangaliza wa mama. hakuna mjadala
2. mama Maouren anajua mtoto akiondoka mpunga utakatika
3. acha kurusha mbegu kila kona mwisho utarushiwa ukimwi ufe!!
 
sio mtoto wako i mtoto wenu....so ongea naye slowly naye alipata uchungu hawezi kukuachia tu kihivihii lazima ukae nae chini.....
 
Na ujanja wako wote unapeleka watoto kwa mama?

Mama amekulea wewe na pia unataka alee wajukuu tena?

Muda wa mama kula pensheni yako sio kumjazia mizigo ya kulea.

Chukua hao watoto ukae nao wewe.

Na pia kuwa 'sperm donor' sio ujanja.
Una akili sana mkuu,binafsi mwanangu nalea mwenyewe,hata nkilala kwe mtaro nalala nae,siachagi kitu kwa mtu nlishajifunza,nataka wanangu wote wawe na hali ya kuniita baba,Nina watoto wa kike na wa kiume mmoja lkn woooote nakaa nao na sioni shida kununua dipe na pichu za wanangu japo wakubwa,
Changu nalea mwenyewe na ninajivunia hilo
 
Kama sijaoa hao watoto nakaaje nao??hakuna bibi anayekataa wajukuu,kwani wanamgasi nini wakat kuna mfanyakaz
Acha mawazo na fikra za kitoto na roho ya kukwepa majukumu,nani kakueleza kulea wanao hadi uowe,unapoishi ww ndo ishi na hao watoto chako kaa nacho mwenyewe,Nina hofu unasumbuliwa na anasa na kujirusha hvo unaona ukikaa na watoto utabanwa,u don't deserve to be a father,
Aisee vaa roho ngumu chukua wanao Leo,kwa mama ipo Siku litatokea tatizo na utakosana na mama bure,
 
Back
Top Bottom