Hataki kunipa 'Mzigo' nataka nimuache

Good
 
Point mrua sana mkuu.
 
Mimi ni binti na namtetea kwa asilimia zote na msimamo wake alionao ni kama wangu.

sasa wewe nimekutongoza umenipenda nami nikakuoenda tumekaa muda bila ya sex, umenambia nikuvumilie nimekuvumilia, kweli hata siku moja usinitunuku kweli?.

Inatakiwa nawewe huruma unakuwa nayo,,,. Kwa maana mi nimpenzi wako tuko pamoja.
 
Mkuu mfano umenitongoza nikakublock,si nakuwa wako?ila bado tu kuhalalisha mbele za Mungu na wazazi..
Sasa unakimbilia wapi?

Kama ndoa unaona bado,kwanini ukimbilie tendo la ndoa?
Au umenitongoza kwa sababu gani?
 
Kwahiyo unashauri mpaka atakavo hitaji yeye ndo nifanye??.
 
Ni sawa je ukamvumilia kumbe yeye anakusariti bila kujua,, Unajua wanawake wana mambo ya siri sana.
 
Ni sawa je ukamvumilia kumbe yeye anakusariti bila kujua,, Unajua wanawake wana mambo ya siri sana.
Kwanini ujenge mawazo hasi namna hiyo?
Kwanini usimchunguze?

Bado hii si Sababu ya maana kuhalalisha hilo tendo..
Kiujumla hakuna sababu kabisa.
 
Najua sio vizuri,lakini that's life..ni kama wanawake wanavyochunguza kwanza uwezo wa mwanaume kabla ya kumkubalia..
 
Kama una more than 20 years inabidi uchunguzwe akili
 
Ukweli halisi! Mwanaume mjanja huwa hazungushwagi 🤣🤣🤣

Wanawake washenzi sana, huyo anaepewa papa ukute hata sio mjanja, kwamfano utakuta wewe ni mwanaume kijana handsome, smart una gari yako na nyumba, lakini ukitongoza unazungushwa, papuchi anaenda kupewa mwanaume hohe hahe asie na mbele wala nyuma kama vile muuza genge, mbeba zege, fundi bomba/fundi redio, msukuma mkokoteni au kibabu kilichostaafu Extrovert
 
Najua sio vizuri,lakini that's life..ni kama wanawake wanavyochunguza kwanza uwezo wa mwanaume kabla ya kumkubalia..
Kumbe unakubali kama si vizuri.

Basi msimpinge huyo dada kwa uamuzi wake sahihi.

Uwezo lazima tuangalie,
Hata ukirejea kwenye maandiko, Mungu alimpa Adam shughuli ya kutunza bustani..ndipo akampa Eva baadaye... Mungu hakumtwaa Eva kwa Adam kabla ya kumpa Adam kutunza bustani.

Kwahiyo uwezo wa mwanaume ni Jambo muhimu Sana maana jukumu muhimu wa mwanaume ni kutunza familia.
Mwanaume asiye na uwezo wa kutunza familia kwa mtazamo wangu naona bado anapaswa kujipa muda Kabla ya kuwa na mwanamke.

Kwahiyo hilo lazima tuangalie,
Mambo ya kuangalia yapo mengi ila si sex,..hii haipo kabisa.
Sawa kaka mzuri?
 
Kwanini ujenge mawazo hasi namna hiyo?
Kwanini usimchunguze?

Bado hii si Sababu ya maana kuhalalisha hilo tendo..
Kiujumla hakuna sababu kabisa.

Daah we ni hatari unafaa kuwa wife material.
Nimekubali msimamo wako.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…