Hataki kunipa 'Mzigo' nataka nimuache

Daah we ni hatari unafaa kuwa wife material.
Nimekubali msimamo wako.
Kumbe nafaa kuwa wife material? akhsante mkuu.

Sasa wewe Unaye tayari huyo wife material, maana msimamo wa huyo dada ndio msimamo wangu,
Mungu akupe nini tena?

Kuna watu wanakushauri umuache,sasa ukimuacha unaenda kutafuta nani mwingine???
 

Nimekusoma mkuu, upo sawa kabisa,
Changamoto ni geto mkuu kwa pale nyumbani palivyo huwezi kupeleka demu pale lada guest house mkuu..
 
Sawa dada nimekuelewa
 
Hadi sasa unakaa home dogo? Una umri gani sasa. Anyway fanya umpeleke guest kama atakubali!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuhudumia ni kazi ya mzazi.
Ukifanya,fanya kwa kujitolea tu.

Kwanini mnapenda kula kabla ya ndoa?

Ukaka nikaupunguzie wapi???
Kama siyo kwake?
 
Nimekusoma mkuu, upo sawa kabisa,
Changamoto ni geto mkuu kwa pale nyumbani palivyo huwezi kupeleka demu pale lada guest house mkuu..
Hadi sasa unakaa home dogo? Una umri gani sasa. Anyway fanya umpeleke guest kama atakubali!
 
Hawaeleweki hao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Tunafanya hivyo ili kujua kama ni taste tunayoipenda..why ukae na binti wa watu miaka saba na unakuja kujua hufurahii sex na unamuacha??..si bora ugundue hilo mapema?

True!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…