Hataki kukubali matokeo

Hataki kukubali matokeo

Unataka kukimbia majukumu ww umpe mimba afu umkimbie lea mimba bwana
 
Yah mjamzito mkuu na hiki inanipa wakati mgumu sana
Basi huna budi kuwajibika.....nkixani anatishia kujiua kikawaida nlitaka nimpe makavu...ila kama mjamzito kisaikolojia una m torture emotional.....lea tu mengine mbele kwa mbele yale ya kuishi pamoja au kuoana
 
Yah nahusika ipasavyo mkuu kwa hilo namtreat like we are still together ila yeye mwenyewe anajua we are not
 
Kweli yule mtoto hahitaji pesa wala nn na simpi matumizi
Sasa shida ni nini? Au labda useme nafsi yako haijaridhika na yeye.tofauti na hapo, ni kwamba unaacha mwanamke mwenye mapenzi ya dhati kwako na kukimbilia mpenzi wa mtu.
Usikurupuke, jarib kutulia ufanye maamuz sahihi, mana naona unaenda kupotea
 
Kweli yule mtoto hahitaji pesa wala nn na simpi matumizi
Maskini dada wa watu kalijifanya mwema haombi pesa..... ila kuachwa anaachwaa haahahaha!! Bora niendelee na umafia wangu tu huna pesa /hutaki majukum/ubahili seepaa
 
Back
Top Bottom