Ipo siku utamkumbuka na utakuwa umechelewa
Tatzo unataka kumuacha then unaendlea kumsikiliza kama hutak kata mawasiliano tu endlea na maisha yako
Unanitisha mkuu
Poa poa chiefNitafanyia kazi hili mkuu
Hapana nakwambia tu ukweli
Sasa kama nilishaona kasoro kwa nini niendelee kung'ang'ania
Hivi vitoto vya fb vinatafuta nini humu?kweli umeshindwa lakifanya kabisa mpaka uje usumbue wazee humu??subiria wenzio wazime mwenge watakujaWakuu wasalaam
Sitaki kutoa maelezo mengi saana nikachosa watu bure straight to the point iko hv;
Nilikuwa katika mahusiano na msichana mmoja nimekuwa nae takribani mwaka sasa
Sipingi kama ananipenda ila sasa shida yake ni mbishi yaan haelewi m ninachomwambia na wala hanisikilizi
Nilikuwa nikimwambia mambo mengi sana ananikubalia usoni lakin baadae anafanya tofauti then likimgeukia anarud kwangu kuniomba ushauri
Sasa nmejaribu mara kadhaa kumfanyia visa aniache yeye ila imeshindikana
Miez kadhaa iliyopita nilianzisha relation na mtu mwingine bahati mbaya siku moja nipo na huyu wa siku zote akakagua simu na kukuta mawasiliano ya huyu mpya akampigia na wakafahamiana kama wanashare
Sasa mm kukata mziz wa fitina nikaamua kumuacha huyu wa siku zote kwa sababu tayar shajaribu aniache yeye ikashindikana
Nilimwambia tu ukweli kwamba tuachane kwa amani ila sasa hataki yaan mpaka anatishia kujiua
Hii inanipa wakati mgumu mpaka kesho
Wajuz hebu nipeni ujanja nimwache vip huyu mtu
Mkuu tupia namba yake hapa 0623873746 nianze mazungumzo nae.Itabid tuongee chemba mdau inaonyesha upo serious sana atatulia kwako
Hivi vitoto vya fb vinatafuta nini humu?kweli umeshindwa lakifanya kabisa mpaka uje usumbue wazee humu??subiria wenzio wazime mwenge watakuja
Kwani hili ni suala geni mkuuSasa hicho kiumbe chako unamwachia baba yake akusaidie kulea au??
Ok kama sio geniKwani hili ni suala geni mkuu
Sasa si mwenyewe kasema hamtaki??Umenichekesha kinoma mkuu kwa hyo akigoma hafai tena sio
Hii ndo Tanzania ya viwanda [emoji23][emoji23][emoji23]
The boss nipe busara mkuu nakwepaje hiki kikombe
mmmmmmh????????Mwombe tiGO... akikupa basi ujue hilo ni zigo lako la kufa na kuzikana
Angalia icjekuwa unatema bigG kwa karanga za kuonjeshwa, mwaka mzima leo ndio ujue mbishi kuwa serious bas[/QUOT
Angalia icjekuwa unatema bigG kwa karanga za kuonjeshwa, mwaka mzima leo ndio ujue mbishi kuwa serious bas