Hata yeye anahitaji.

Hata yeye anahitaji.

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Ukiangalia hii picha hapa chini utagundua kuwa huyo mama alikuwa anauguza mwanaye hospitalini. Lakini ukichunguza kwa makini zaidi unaweza kugundua kuwa huyo mama vilevile anahitaji huduma ya matibabu ya kwake.
Chunguza kwa makini ni kitu gani ambacho hyo mama anahitaji kuangaliwa zaidi.
Karibu.
 

Attachments

  • JK.JPG
    JK.JPG
    107.6 KB · Views: 393
Jamaa kwa kuuza sura tu hajambo aisee
 
kWANI UGONJWA WA MTOTO ULIKUWA NINI?HUWEZI KUJUA UGONJWA WA MTU KWA MACHO,LABDA ULEMAVU-TUNAHITAJI KUPIMA KITABIBU ZAIDI
 
Hata fizi zinaonyesha anaupungufu wa vitamin fulan
 
Back
Top Bottom