Hata wewe inakuhusu !!!

Hata wewe inakuhusu !!!

MWAMUNU

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
870
Reaction score
531
Heshima mbele wana jamvi !!
Wadau jana nimedondosha Blackberry 9900,kama kuna mtu ana idea jinsi ya kuiblock ili mtu mwingine asiweze kuitumia
please tupia maujuzi hapa.
Yaani bora tukose wote !!
 
Tafuta pesa kijana, nunua simu nyingine. Kwani mkikosa wote, wewe utafaidika nini?
 
Ntafaidika kwa sababu tumekosa wote!! Tupia maujuzi basi !!
 
Heshima mbele wana jamvi !!
Wadau jana nimedondosha Blackberry 9900,kama kuna mtu ana idea jinsi ya kuiblock ili mtu mwingine asiweze kuitumia
please tupia maujuzi hapa.
Yaani bora tukose wote !!

Kama ulidondosha imaana cha kuokota si cha kuiba, mwenyd mali ni mjinga. Hivyo ni vyema umeachie huyo mwenye bahati maana hakukuibia au jaribu kuomba akupatie huenda yumo humu JF Kuliko wote mkose.
 
Kama uliinstall BlackBerry protect unaweza kuingia website yao na kuilock au kuifuta simu. Pia kama uliweka password hataweza kuitumia mpaka aifute data.
 
Ungali ifunga kabla ,au kuuliza hayo maujanja kabla ya kud0ndosha hiyo simu yako ingalikuwa safi zaidi.POLE LAKINI
 
Back
Top Bottom