Mmeishiwa power?
Nakupunguza mzee wangu haya mabango yako nimeyachoka..
John mrema ni mpinzani au chawa wa CCM?Jon mrema amefunga comments ktk Twitter ktk account yake. Kaandika mambo mengi lkn ukitaka kukoment amezuia.
Hata wapinzani wa ccm wanafunga comments?
Sio huyo, John Mrema ni mkurugenzi wa chaumma mnywa viroba maarufuJohn Mrema si ndo naibu meya wa DSM?