Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Hahaha...baada ya kuisoma hii thread nikawa na wasiwasi labda sahani nazo zaendekeza mambo ya ushoga ndio maana zimepandiana kabatini!!
Hahahahaa we mkareeeeeeee
Hahaha...baada ya kuisoma hii thread nikawa na wasiwasi labda sahani nazo zaendekeza mambo ya ushoga ndio maana zimepandiana kabatini!!
Sasa hapa tudiskasi jambo gani??
Mkuu hebu sema bana......maana haya maswali mengine utadhani mambo ya ganda la ndizi ni ndizi au sio ndizi
Huo msemo umeutoa wapi?...kuna wakati nilikuwa nasoma Ilboru huo msemo ulishika sana hatamu
Huenda tulisoma wote mkuu.
Inawezekana mkuu....unaweza kuwa omary mwarabu wewe!!!
Pengine kwa mbwa hilo jambo ni sawa... Waulize wenyewe...Sijui ndiyo zama za mwisho zimefika au ndiyo utandawazi umeingia mpaka kwa wanyama ,hapa kuna mmbwa watatu (3) dume wanafanya vitendo vya ushoga na wanakichangia kimoja mpaka kinalia
Mimi na mwarabu wapi na wapi? Hivi yule jamaa yuko wapi aisee, manake long time sana.
Naomba link ya huo uziKaka mkubwa nimepoteza contacts na watu wengi sana pamoja na Ommy...ila humu ndani wapo wengi tu nimekuwa nikikutana nao kwenye uzi mmoja wa Ilboru, ila hatujaweza kutambuana kwa majina yetu tuliyokuwa tukitumia UMENYENI