Anthony Threedeyea
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 471
- 48
dea mpira mtamu mkiwa wengi peke yangu inaboa
Inaitwa opposite attraction...mume anapenda tamthilia mke anapenda mpira na boxing.....Usikute hadi nyumbani mke anaua nyoka..mume karuka juu ya sofa...dunia hii ina mambo
kwi kwi kwi kwi mi napenda wanaume wa hivyo napata viceversa lol
Hahaha....wewe nitakusemelea kwa baba....
Nimefungua haraka haraka uzi nikajua mpira kondomu,si unajua wengine sisi madalali wa kuuza kondomu.
Napenda mpira sana na mume hapendi wala hajui kuhusu mpira sisi leo hatareee kucheki peke yangu hainogi mpaka niende sehemu,hapo sisi nashindwa nianze vip kuomba ruhusa .
Wanawake wenzangu mnaopenda mpira mmeomba vipi ruhusa.
Inaitwa opposite attraction...mume anapenda tamthilia mke anapenda mpira na boxing.....Usikute hadi nyumbani mke anaua nyoka..mume karuka juu ya sofa...dunia hii ina mambo
mi napendaaaaaa saaaaana...ila natulia tu ndani kitu cha TBC naangalia kama nataka kampani nachart tu na wadau basiii..sitaki kumuuzi mkaka wawatu bule..akose amani na usingizi kuwaza honey wake nilipo..akuuu wanaume wenyewe adimu sikuizi..
Napenda wanawake wanaopenda mpira sana..naona kama ni watu wenye ufahamu wa ziada hivi..nawakubali sana
ha ha ha dah hivi wanaume wa hivyo wapo? Niue nyoka ye akimbie??