Ndan ya box
Senior Member
- Jun 2, 2014
- 159
- 44
Mwambie honey naenda kucheki mechi mara moja.... angalia watoto
akimaliza kuangalia mwambie arudi kwako. huu mfumo jike sasa unataka kukiangamiza hiki kizazi.[/hahahahahahahahahahahhaahahahaha leo atanuna sipati picha
dea mpira mtamu mkiwa wengi peke yangu inaboasi ukae uangalie kwako
Mwambie honey naenda kucheki mechi mara moja.... angalia watoto
mimi nilikatazwa kuangalia mpira mpaka sasa nimeshazoe... nilikuwa namtoroka najifanya naenda kulala kumbe ndo kimoja hivyo afu huwa ina raha kuangalia huku unapata kinywaji aisee ila sasa ubovu wangu ampira aliokuwa kaka, drogba na makelel ndo naupenda ...... sasa hii inawezekana kama amuishi wote..
si ukae uangalie kwako
yaani ndio starehe yangu hapa duniani kimichezoNapenda wanawake wanaopenda mpira sana..naona kama ni watu wenye ufahamu wa ziada hivi..nawakubali sana
hahahahahahaha THE BOSS umeonaa ee aisee acha tu niende akitaka asinifungulie mlango anune tu kombe la dunia linaanza leo,ngoja tu niombe likizo ya mwezi nisafiri nikacheki huko na wadauInaitwa opposite attraction...mume anapenda tamthilia mke anapenda mpira na boxing.....Usikute hadi nyumbani mke anaua nyoka..mume karuka juu ya sofa...dunia hii ina mambo
Hapana... mume anaogopa mendeInaitwa opposite attraction...mume anapenda tamthilia mke anapenda mpira na boxing.....Usikute hadi nyumbani mke anaua nyoka..mume karuka juu ya sofa...dunia hii ina mambo
Inaitwa opposite attraction...mume anapenda tamthilia mke anapenda mpira na boxing.....Usikute hadi nyumbani mke anaua nyoka..mume karuka juu ya sofa...dunia hii ina mambo
Bila shaka we ni team chelsea.
ha ha ha dah hivi wanaume wa hivyo wapo? Niue nyoka ye akimbie??