Pale dume unapolkuta linatafuna udongoView attachment 502374
Subiri kuna lift
[emoji15] [emoji22] [emoji25] pole sana nduguMkuu hii kitu iliwahi nitokea mateso yote ya wife yalihamia kwangu sintousahau ule mwaka niliteseka sana [emoji24][emoji24][emoji24].. Na bahati mbaya mtoto akafia tumboni mwa mamaye
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji779] [emoji779] [emoji779]Hahahaha. Kwa sababu ya muunganiko huo, katoto kakiona kamechoka kucheza tumboni kwa mama kanaenda kucheza tumboni kwa baba yake. No wonder some husbands have parabolic stomach!.
Pole sana mkuu!Mkuu hii kitu iliwahi nitokea mateso yote ya wife yalihamia kwangu sintousahau ule mwaka niliteseka sana [emoji24][emoji24][emoji24].. Na bahati mbaya mtoto akafia tumboni mwa mamaye
Kwa maelezo yake anasema inatokea kama siku mimba ikitungwa na mdada akaamka kabla ya mwanaume basi anakuachia dalili za mimba... Unakua na kichefuchefu, kupenda vitu vichachu na udongo n.k
Sijui kama ni ukweli
Kuna mkaka Alinisimulia kua wakati baby mama wake mjamzito nae alikua ana experience dalili zote za ujauzito... Hadi siku mdada aanajifungua mkaka alipata homa ya haja mpaka pale mtoto alipotoka. Kwa maelezo yake anasema inatokea kama siku mimba ikitungwa na mdada akaamka kabla ya mwanaume basi anakuachia dalili za mimba... Unakua na kichefuchefu, kupenda vitu vichachu na udongo n.k
Sijui kama ni ukweli